daniel enocy
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 380
- 413
Mzee wa ramli la PDF vipi limeishia wapo au tubaki na makofi ndio anaaminikaNo mi nilimanisha za kujikimu baada ya kupata kazi,lazima uambatanishe barua yako ya ajira ko kama hujapata kazi automatic haziwahusu.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hapo sawa.Niendelee kupata uzoefu tu na taaluma yangu
Nenda kapige usaili!! Ukapate pia uzoefu wa saili za private sector. Huko mara nyingi ni oral tu!hivii wakuu, nimepokea text ya call for interview ASA microfinance loan officer, vipi wakuu pakoje huko usahili wao pia incase nimepita, coz huku security nako sio pabaya sana chai inanyweka tu vizuri!
Mimi binafsi nin mida mrefu sijaona tangazo la ajira kwa mifumo ya jamii kama NSSF na PSSF na sijui wanapataje watumishi,ata za mkataba sizioni kabisa
BOT [emoji849]Kweli wapo wanaojitolea?
Kabisa aiseeKweli mkuu, hii nchi inataka kutengenezewa matabaka ndani ya serikali. Yani wewe ukajitolee buree halafu wenzako ndani ya mwezi mmoja wakunje 4M. Hapana aiseee Mungu aliyeumba Jua tangu liwepo hadi leo hii atatuonekania kila mmoja kwa namna yake. Tutazidi kudharauliana sana. Kama viongozi wetu wameshindwa kutoa ajira kupitia serikali basi watumie rasilimali za nchi kunufaisha wananchi wake kama ilivyo kwa baadhi ya nchi nyingine. Mbona Libya waliwahi kufanya?
Sent using Jamii Forums mobile app
yaah kwa maelekezo kutoka juu/baba kanituma . later on wnapewa confirmation letter ndio imetoka hvooBOT [emoji849]Kweli wapo wanaojitolea?
ngoja wataalamu wajeSamahani ndugu zangu, naomba kufahamu ofisi za halmashauri ya jiji la Dar es salaam zipo maeneo Gani?
Nimekwenda kitambo sana pale ila ziko maeneo ya Stesheni karibia na Ukumbi wa Karimjee..Samahani ndugu zangu, naomba kufahamu ofisi za halmashauri ya jiji la Dar es salaam zipo maeneo Gani?
Jobless hii salamu haiwahusuHabari zenu waheshimiwa?
Poleni na majukumu ya kazi.
HahahahahaaJobless hii salamu haiwahusu
Habari zenu waheshimiwa?
Poleni na majukumu ya kazi.
Karipoti kiongozi kuliko kukaa kusubiri usichojua kitakuja vipi.Kuna placement nmepata sjaridhika nayo, ila kuna zingine, mbili super zaid nilifanya vizuri ila hawajatoa placement na nahisi zitatoka soon. Sa nawaza nikaripoti au ningoje?
[emoji16]Jobless hii salamu haiwahusu
MSimu wa sahili umeanza tenaa tuendlee kupambana joblessnaona kuna call for interview huko
Kwema mkuu, umeadimika sana.Habari zenu waheshimiwa?
Poleni na majukumu ya kazi.