uyo hajielewi.. anataka kajiri ndugu zake kwa kigezo cha kujitoleaRidhwani aachane na mpango wa kutaka ajili watu kwa kigezo cha kujitolea ni kuturudisha nyuma kipindi cha giza kuu, la kujuana na rushwa za pesa na ngono.Huwezi jitolea bila connection hasa.
umetutenga sana afsa, haya tupe za ndani mkuuu!Wasaka tonge humu mpoooo,,,,,,? Habari za siku
Ninywe maji kwanza mkuuumetutenga mkuu, tupe za ndani mkuuu!
enheee, nakusubiria champNinywe maji kwanza mkuu
Tupo mkuu, karibu sana tulisongeshe ili gurudumu, tunatambua uwepo wako mkuuWasaka tonge humu mpoooo,,,,,,? Habari za siku
Ila wadau wamelamba lamba asali humu wazee au bado mambo magumuTupo mkuu, karibu sana tulisongeshe ili gurudumu, tunatambua uwepo wako mkuu
Tupe newsWasaka tonge humu mpoooo,,,,,,? Habari za siku
Vipi TRA kwenye zile nafasi 1000 za mwaka ujao WA fedha walisema wanaanza na database ndipo watangaze zinazobakia wamefikia wapiWalioomba kazi ambao mna digrii yoyote mwaka haushi buree,,,,sasa utakopangiwa popote msiache kwenda na mumshukuru mungu kesho inshallah saa nnne nitakuja na taarifa za ndani kuhusu next placement,,,,wiki iliyoisha nilipewa taarifa kuhusu vitaasisi vizuri tofauti na hizi Halmashauri vinafanya upembuzi wa database kulingana na uhitaji na moja wapo ilikuwa ni Tarura nadhani tayari pia kuna taasisi za bima mpaka kesho nadhani tutapata mpya
Wamelamba baadhi, mambo bado tyt speed ndogo sana yakutoa placementIla wadau wamelamba lamba asali humu wazee au bado mambo magumu
Hizo sijapata taarifa zake na hata maendeleo ya mchakato wao hadi sasa huenda zipo labda mimi sijafahamuVipi TRA kwenye zile nafasi 1000 za mwaka ujao WA fedha walisema wanaanza na database ndipo watangaze zinazobakia wamefikia wapi
Mungu ni mwema kwa wote 🙏 wakati wa kila mtu utafikaWamelamba baadhi, mambo bado tyt speed ndogo sana yakutoa placement
Amen, Amen! mkuu na iwe ivyo🙏Mungu ni mwema kwa wote 🙏 wakati wa kila mtu utafika
Bila shaka ulikuwa unawapa ushauri watu wa Halmashauri.Ki ukweli Halmshauri kutamu sana kama ukiishi kwenye Mshahara wako.Tatizo la Watumishi wengi Mtaani huwa wanapenda kuishi maisha yasiyo Yao/Kutokulingana na Mshahara wake.Walioomba kazi ambao mna digrii yoyote mwaka haushi buree,,,,sasa utakopangiwa popote msiache kwenda na mumshukuru mungu kesho inshallah saa nnne nitakuja na taarifa za ndani kuhusu next placement,,,,wiki iliyoisha nilipewa taarifa kuhusu vitaasisi vizuri tofauti na hizi Halmashauri vinafanya upembuzi wa database kulingana na uhitaji na moja wapo ilikuwa ni Tarura nadhani tayari pia kuna taasisi za bima mpaka kesho nadhani tutapata mpya
Kuna mijitu kibao barua zimemaliza muda utumishi masijala zimetimwa ktk anuani zao hawajaripoti hadi leo hawatambui kuna watu wanaomba walau wapate hizo nafasi yani,,,Ukiona hujapenda fika utumishi waeleze wana change kwa haraka mno kwa kumpigia simu msailiwa mwengine aliopo kanzi data kuliko kukaa kimyaBila shaka ulikuwa unawapa ushauri watu wa Halmashauri.Ki ukweli Halmshauri kutamu sana kama ukiishi kwenye Mshahara wako.Tatizo la Watumishi wengi Mtaani huwa wanapenda kuishi maisha yasiyo Yao/Kutokulingana na Mshahara wake.
Akili za Kuambiwa changanya na zako.Hakuna watu wanapata raha kama watumishi wanoajiriwa miaka ya hivi karibuni.Serikali imeboresha sana Maslahi ya Watumishi wa Umma.Kuna mijitu kibao barua zimemaliza muda utumishi masijala zimetimwa ktk anuani zao hawajaripoti hadi leo hawatambui kuna watu wanaomba walau wapate hizo nafasi yani,,,Ukiona hujapenda fika utumishi waeleze wana change kwa haraka mno kwa kumpigia simu msailiwa mwengine aliopo kanzi data kuliko kukaa kimya
Sawa kakaJamani mimi sifanyi kazi utumishi ila huwa na fika pale mara kwa mara sana ndiyo natumia mwanya huo kupata za ndani pale
Na vipi kuhusu TANAPA,umesikia chochote kaka? kuchukua data base?Jamani mimi sifanyi kazi utumishi ila huwa na fika pale mara kwa mara sana ndiyo natumia mwanya huo kupata za ndani pale