Pamoja sana mkuuWalioomba kazi ambao mna digrii yoyote mwaka haushi buree,,,,sasa utakopangiwa popote msiache kwenda na mumshukuru mungu kesho inshallah saa nnne nitakuja na taarifa za ndani kuhusu next placement,,,,wiki iliyoisha nilipewa taarifa kuhusu vitaasisi vizuri tofauti na hizi Halmashauri vinafanya upembuzi wa database kulingana na uhitaji na moja wapo ilikuwa ni Tarura nadhani tayari pia kuna taasisi za bima mpaka kesho nadhani tutapata mpya
Naam mkuuKwema mkuu, umeadimika sana.
Utumishi unaenda vyema lakini?
Sawa mkuu, usiwe unawasahau sana wanazengo hapa kuja kuwajulia hali, maana ukija wanafurahi sanaNaam mkuu
Ebu anza kucheki Internet yako kama ipo imara kwanza, then angalia picha kama iko kwenye size inayofitMsaada picha imetoka kwenye profile ya ajira portal na inagoma kila nikiweka, shida inaweza kuwa nini wakuu.
Mfumo haupo sawa kwenye upande wa picha wewe si kwanza kuulizaMsaada picha imetoka kwenye profile ya ajira portal na inagoma kila nikiweka, shida inaweza kuwa nini wakuu.
Amina na ikawe hivyo kwa Neema zake Mungu na katika Jina la Yesu KristoNa leo Mungu ataendelea kuwa mwema! just relax!
Na iwe hivyo na pia naombea jina lako liwemo humo pia!!leo pdf kutoka ni 80%
kesho ni 100%
Qatar na Saudi hawamtaji Yesu na mambo yao yanaenda....zindukaAmina na ikawe hivyo kwa Neema zake Mungu na katika Jina la Yesu Kristo
Tujihadhari tusiharibu uzi wetu pendwa kwa kuingiza hisia za udini. Tuzingatie yanayotuunganishe na siyo yanayotutenganisha! Nawatakia wote heri na baraka za Mungu muumba mbingu na nchi!!Qatar na Saudi hawamtaji Yesu na mambo yao yanaenda....zinduka
Leo naona kuna kapdf katapandaa naona kimuli muli kimezima pale 😅Daaaaah vimulimuli vya placements vimezima, watakubali pakae kmya hvo bila kutupia hata ki pdf Cha kb 2
Ongea na huyo anayesema anawaombea wote kwa jina la Yesu!Tujihadhari tusiharibu uzi wetu pendwa kwa kuingiza hisia za udini. Tuzingatie yanayotuunganishe na siyo yanayotutenganisha! Nawatakia wote heri na baraka za Mungu muumba mbingu na nchi!!
makofia360 vp kuhusu matangazo ya kazi watu wa diploma upande kada ICT kumekuwa kukame mno.Walioomba kazi ambao mna digrii yoyote mwaka haushi buree,,,,sasa utakopangiwa popote msiache kwenda na mumshukuru mungu kesho inshallah saa nnne nitakuja na taarifa za ndani kuhusu next placement,,,,wiki iliyoisha nilipewa taarifa kuhusu vitaasisi vizuri tofauti na hizi Halmashauri vinafanya upembuzi wa database kulingana na uhitaji na moja wapo ilikuwa ni Tarura nadhani tayari pia kuna taasisi za bima mpaka kesho nadhani tutapata mpya
pamoja mkuuNa iwe hivyo na pia naombea jina lako liwemo humo pia!!
Hatri mzee pole sna mkuu hapa naona ndo mpk mwaka wa fedha mwingine sahz kama wameanza saili kwa zile zilizotanganzwa sinc januaryUsiombe unakaribia nusu mwaka hakuna received hata moja, Wala hakuna PDF unalolisubiria la asali. Hali ni Tete.