HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
kuna tangazo lakuitwa usaili, limeandikwa tarehe 06 afu wameweka leo Tarehe 8
 
kuna tangazo lakuitwa usaili, limeandikwa tarehe 06 afu wameweka leo Tarehe 8
Lilikuwa limewekwa mwanzo tarehe 6/5/2023 lakini likagundulika lina kasoro fulani fulani wakaliondoa siku hiyo hiyo. Baada ya kurekebisha kasoro hizo ndo wamelirudisha tena hadharani leo tarehe 8/6/2023.
 
Naomba hizo namba zao
 
Hii siku wadau vp inapita hivhiv
Haijapita hivi hivi maana bado haijapita, mwisho ni saa 6 za usiku! PSRS wana kawaida ya kutupia vitu hata usiku! Lakini haijapita hivi hivi maana wametupia call for interview!! Watu wajiandae kwenda kukandwa!!
 

Hii case ni serious.

Nashukuru mkuu umeiibua.

Kuna dada mmoja kapigiwa simu pia na afisa utumishi wa halmashauri aliyopangiwa (BUSOKELO, iko Mbeya)
Anaulizwa mbona bado haujaja kuripoti kazini ?

Dada alifanya usaili wa afisa mifugo msaidizi, na yuko Mwanza now.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…