Hatari, sie wenye nafasi za msimu ndio tuisahau psprs maana Hadi zije zitangazww tena umri utakuwa ushatondoa kwenye mfumoPlacement zimeisha,wameanza kuita interview tena
Placement bado sana!! MDA & LGA hawajafika hata nusu ya zile post zaidi ya elfu mbili. Kada pekee waliyoita sana ni LIVESTOCK FIELD OFFICER II hadi sasa wamelamba asali watu 216. Hata hivyo na wao bado maana nafasi zao zilikuwa 360. Kwa hiyo bado nafasi 144 zinasubiri, mlioomba kada hiyo endeleeni kusubiri kulamba asali! Kwa upande wa kada ya FISHERIES OFFICER II wao hadi sasa wamelamba asali watu 32 tu kati ya nafasi 100 zilizotangazwa, Kwa hiyo kuna nafasi 68 bado hazijajazwa, endeleeni kusubiri kuramba asali kwa kada ya FISHERIES OFFICER II. Ila naipongeza idara ya mifugo na uvuvi idara iliyojitahidi sana kurambisha watu asali.Placement zimeisha,wameanza kuita interview tena
Nchi ngumu sana hii daahPlacement zimeisha,wameanza kuita interview tn
Ni kweli ila endelea kusubiri MDA & LGA bado kurambisha asali zaidi ya watu 1,000.Nchi ngumu sana hii daah
Ngoja waje wanaoweza kulielezea vizuri hili!Nimeona upande wa Wizara ya Afya wameitwa usaili watu wa takwimu wakati huohuo kuna nafasi 70 za Mtakwimu II zilitangazwa na MDA&LGA na oral yake ikafanyika Mwezi February na mpaka sasa walioitwa kazini idadi haijafika 70. Hii ina maanisha nini wataalamu?, kwa maana Wizara ya Afya ni miongoni mwa MDA!!
Vimulimuli vimeanza, hii ni dalili njema!Kuna new placement ya ardhi mliofanyabusahili nendeni mkaangalie majina yenu
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
ofcozKama kuna mtu anategemea placement zaidi kutoka MDA&LGA awaze mara mbili zaidi,leo wameleta pdf ya terehe 5 ndio wanaweka leo kusahaulisha watu,hapo ilipofika mm sidhani kama kama kuna kutegenea pdf kubwa zaidi ya ya hivi vikb,
Lower your expectations then weka plan nyingine till next time.