PSRS unajua imewekwa kwa ajili gan Kiongozi kama tunaongea kwa style hiyo...PSRS ndio wanaofanyisha usaili kwa niaba ya waajiri kwenye utumishi wa umma. Kwa maana hiyo ni lazima PSRS watoe matokeo rasmi ya usaili wao, na kuwajulisha wahusika rasmi. Katika ngazi ya mtu mmoja ni lazima apewe barua ikimwarifu kufaulu usaili na kuitwa kazini. Waajiri lazima wapewe taarifa pia ya usaili maana psrs ilifanya kwa niaba yao. Usichanganye utumishi kama wizara na PSRS kama kitengo ndani ya utumishi. Waajiri huomba kibali utumishi cha kuajiri, utumishi ina jukumu la kuangalia kama serikali ina nafasi ya kugharimia ajira hizo, kwa maana ya mchakato wote na mishahara ya waajiriwa wapya. Utumishi wakijiridhisha kuwa fedha ipo, hutoa kibali kwa waajiri cha kuajiri. Hapo ndipo psrs wanapewa jukumu la kutangaza, kufanya usaili na kuchagua waajiriwa kwa niaba ya waajiri. Anachopewa mwajiriwa na PSRS si kibali cha ajira bali ni wito wa kuripoti kazini (kwa mwajiri) baada ya kufaulu usaili.
Umeelezwa vizuri kabisa mambo ya bia yametokea wapi.PSRS unajua imewekwa kwa ajili gan Kiongozi kama tunaongea kwa style hiyo...
Samahani
mfano :ww ni agent wa Bia ....unapoagiza idadi ya Bia kiwandani...Kiwanda wanakutumia picha wakati wanapakia au wanakuletea idadi uliotaka!
Dah siku hizi naona ikishapta saa 12 hamna mkeka ndo kama imetoka ioo mpka next day tenaMakofia uko wap uje kutupa za ndaniiiiiiii kabisa
Nchi imesharudi kwa wenyewe hii...sasahv wanajiamulia tuJana Kuna jamaa kapigiwa simu toka halmashauri x na HR akimuuliza mbona hujaja kuripoti?wakati huo huo Secretariat ya ajira hawajatoa PDf likiwemo jina lake,sasa leo alivyofika tu pspr kuchukua barua,wakamuuliza jina na anwani,akataja wakampa barua yake,vile anataka kuondoka wakamwambia aifungue kwanza,akaisoma akakuta ni kituo kile kile alichopigiwa simu,barua inasoma tarh 13/3/2023,halichokosea akaanza kuwalaumu kwanini PDF hawatoi mpk anapigiwa simu,walivyosikia tu hivyo,wakataka kumyanganya barua,wakamtishia mpk kumuweka ndani,Ila akagoma kutoa barua akasepa zake[emoji16][emoji16][emoji16]
Very truly mkuu!Mimi huwa najiuliza: Ukiwa shortlisted PSRS wanakupa taarifa kwenye akaunti yako ya recruitment portal. Sasa kwa nini ukiitwa kazini wasikuarifu pia? Na kwa nini wasikutumie hiyo barua kwa email pia? Yote hiyo ni kutafuta nafasi watakazozipoteza watu kwa kutokupata taarifa kwa wakati ili wapenyeze watu wao.
Tangazo limeandikwa tarehe 5 na Chuo ambapo ndio inaonekana limetolewa hiyo siku(angalia kwenye website ya chuo uone wamelipost lini).Haya ndiyo mambo yasiyozingatia hali halisi: Tangazo limetoka rasmi leo tarehe 9/5/2023. Lakini linawataka walioramba asali wawasili chuo kikuu cha ardhi JANA tarehe 8/5/2023 saa 3.00 asubuhi. Hata kama mtu unakaa Dar utawezaje kuripoti jana wakati umeitwa leo? Kwa mujibu wa anuani zao kuna mtu toka njombe na mwingine toka kilimanjaro, japo wengi ni wa Dar!!
Mkuu umejuaje limechelewa kufika na sio kwamba Pspr ndo wamechelewa kuliwekaTangazo limeandikwa tarehe 5 na Chuo ambapo ndio inaonekana limetolewa hiyo siku(angalia kwenye website ya chuo uone wamelipost lini).
Lakini limechelewa kupelekwa PSRS na lilipowafikia leo ndio wakalitangaza.
Placements nyingi zinazoandikwa na PSRS huwa zinatoka siku hiyo hiyo(tarehe ya tangazo)(fuatilia kwa uhakika)
Faida ya barua ya kuitwa kazini wanayotoa PSRS ni ya nn kama wameshawajulisha halmashauri?
..
Na wewe umejuaje kama wamechelewa kuliweka?Mkuu umejuaje limechelewa kufika na sio kwamba Pspr ndo wamechelewa kuliweka
Sasa hii ni obvious, wenyewe ndo wameweka hiyo doc[emoji23]Na wewe umejuaje kama wamechekewa kuliweka?
Ulishawahi kuona tangazo la placement waliloliandika wao PSRS wakaliweka tarehe tofauti na waliyoiandika?Sasa hii ni obvious, wenyewe ndo wameweka hiyo doc[emoji23]
Pia umejuaje kama waliwahi kulipokea? yaani tarehe 5 baada ya kuandikwaSasa hii ni obvious, wenyewe ndo wameweka hiyo doc[emoji23]
Hongera kwa kulamba asali mzee, nakumbuka ulivokua unaulizia pdf kwa nguvu. Ukawe mtumishi mwemaNashkuru ndugu Nina Imani ni miongoni mwa changamoto ambayo ni lazima nipite
Point ni kuwa wenyewe ndo wana mamlaka na wajibu wa hili swala (kupost/kutoa taarifa za michakato ya ajira), na chochote kinachotokea wao ndo wanapaswa kuwajibika...Pia umejuaje kama waliwahi kulipokea? yaani tarehe 5 baada ya kuandikwa
[emoji38][emoji38][emoji38]....Hiyo ni ushahidi endapo barua/taarifa alizopewa mwajiri wakaamua kuzificha(nawaza tu), wewe itawaonesha hiyo barua na kuwaambia umepangiwa hapo na barua inawataka wakupokee
Daaah tatizo mnatumia hisia sana kwenye kufikiri mamboKuna hoja hapa :
1.Utumishi wakigoma kutoa kibali cha ajira inakuaje kama unawapa taarifa mapema halmashauri kabla ya kibali?nn kinatokea
2.Faida ya barua ya kuitwa kazini wanayotoa PSRS ni ya nn kama wameshawajulisha halmashauri?
Tuendelea kulia mbele za Bwana kuna Mengi yatasemwa....
Ww huoni kama wanaleta sintofahamu kati ya PSRS na Taasisi husika inayohitaji watu(pitia thread za nyuma utaona kuna mtu anaenda kudai barua kazi kabla ya tangazo la kuitwa halijatoka na kapewa barua)Daaah tatizo mnatumia hisia sana kwenye kufikiri mambo
Sasa iyo hoja namba mbili kuna ubaya gani ukimuagiza mtu aende mahali flani alafu pia ukawataarifu wahusika wa kule anapokwenda kwamba kuna mtu umemuagiza wampokee
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Sasa hapo nikiri kwamba tatizo ni psrf kuchelewa kutoa majina ikiwa tayari muajiri ametoa go ahead ya mwajiriwa kufika eneo la kaziWw huoni kama wanaleta sintofahamu kati ya PSRS na Taasisi husika inayohitaji watu(pitia thread za nyuma utaona kuna mtu anaenda kudai barua kazi kabla ya tangazo la kuitwa halijatoka na kapewa barua)
Kwa style hiyo Inajenga nn kwa vijana wanaopambanana na ajira au waliofanya usail huo....