HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tukienda kwa style hiyooo Mkuu unaosema ..............????
kuna watu wataingizwa kimya kimya kazini!!!!
Mungu asimamie hili...
 
Kuingizwa watu kimya kimya ambao hawajafanya usahili hiyo ilikuwa zamani kaka,mfumo Sasa hiv unawabana kinoma,hiyo namba ya interview inakuwa treced kinoma kila mahali mpk makao makuu UTUMISHI,ndo maana connection za saiv lazima ufanye usahili ndo wanakubeba kwenye matokeo,et kuja na jina mfukoni hiyo ilikuwa zamani za jk
 
Sidhani kama wewe ni mgeni kwenye hizi contradictions za placements za vyuo kwenye kutangazwa. Tumeziona sana mwaka jana zikiongozwa na MUCE, sasa sijui unawalaumu vipi PSRS ilihali placements wanazotoa wao hazijawahi kupishana na tarehe zilizoandikwa.

Siwezi kuwatetea kama unavyojaribu kusema ila najaribu kuwaza na kusimamia ninachokiwaza, labda tupate majibu ya uhakika ili tuelewe kwa pamoja
 
False speculations....
 
Kwanini unataka kufuta?
sihitaji tena nmepiga interview mingi nafika hadi oral alaf hata placement za database hamna . mara wanatangaza nafasi mpya kwa kada hiyo.

mm kila interview written napiga 90 ikishuka sana 85. interview zenye practictal sijawahi pata chini ya 80. nikifika oral najibu maswali yote point za uhakika ila kazi hawanipi. sijui ni hadi uwe na connection. maana nataka kuifuta tu hiyo account ntapambana na tamisemi na wizara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani upo kada gani?
 
Kwanza kabisa napenda kumshukuru na kumtukuza Mungu Baba aliye Mkuu na mwaminifu kwa ahadi zake kwetu.
Hatimae leo hii ameniona mtumishi wake na kwa mapenzi yake amenipa Asali katika utumishi wa umma
Ndugu zangu tusikate tamaa , Mungu anatuwazia yaliyo mema daima ili sisi tupate kuishi kwa matumaini.

Nilifanya jumla ya saili 8 mwaka jana kuanzia mwezi March lakini katika hizo ni moja tu ndio nilifanikiwa kufika Oral na ndiyo hiyo ambayo Mungu kwa wema wake amenijalia leo hii.
 
Jitoe tu akili
 
pole sana mwmba inatia hasira sanaa
 
pole sana mwamba inatia hasira sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…