Pole sana mkuu vumilia tuu uskate tamaasawa. hao PSRS sisi wa kada za afya wengi tupo database ila wanakatisha tamaa nafasi zikipatkana badala watupe ambao tupo kanzidata wanatangaza tena upya hizo nafasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo ushauri unahitajika kwa wote wanaohudhuria oral interview. Hayo maswali ya uelewa huwa hayana mchango mkubwa katika kuwatofautisha wasailiwa. Kwanza tayari uelewa umeuonesha kwenye written interview, na kuna uwezekano mkubwa wote mkayajibu kwa usahihi. Ninaamini swali la kwanza au la mwisho kwenye oral huwezi kuulizwa swali kama ulilotoa mfano hapo juu. Maswali ambayo hayaoneshi uhusiano wa moja kwa moja na taaluma yako, lakini yanakufanya ujifunue kwa msaili ili akutambue ulivyo, ndiyo yatakayowatofautisha kati ya msailiwa mmoja na mwingine. Kumbuka kwenye oral wote mliobaki ni mabingwa na wote mnaweza kuifanya hiyo kazi bila shida yoyote!! Kinachotafutwa ni kuwatofautisha ili kupata wachache maana nafasi ni chache na wengine mnabaki data base!! TAKE NOTE OF THIS!! Confidence & personality ni ya muhimu sana pia. Sisemi kwamba wewe huna confidence & personality lakini nashauri kwa ujumla wake hapa jamvini kwa manufaa ya wengi.unajua kwenye Afya au sayansi point ni moja tu . hakunaga kudanganya mule mfano unaulizwa
"mention five branches of microbiology" unazitaja na majibu yake ni hayo hayo ulimwengu mzima
*mycology
- virology
- bacteriology
* parasitology
*immunology.
sasa hapo wanapima nini ? au unataka kusema hilo swali linapima nini. kwenye sayansi majibu ni constant hainaga mbwembwe nyingi. sasa unakuta umejibu maswali ya oral manne yote vizuri na majibu ya uhakika ila ata database hupati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikuwa na nafasi 360 huko MDA&LGA!! Huu ni mwaka wao!!Afisa mifugo wanakula sana vitengo.
hilo swali nililotoa mfano tuliulizwa. maana nasema kwanye sayansi au afya jibu ni moja tu. japo wanaficha matokeo ya oral ila maswali yao mengi yanajibika wanaficha maksi za oral alafu wenyewe wanaamua wampe nani. mfano mm nauhakika nipo kanzidata ila nafasi hawatupi kila siku kutangaza matangazo mapya.Hapo ndipo ushauri unahitajika kwa wote wanaohudhuria oral interview. Hayo maswali ya uelewa huwa hayana mchango mkubwa katika kuwatofautisha wasailiwa. Kwanza tayari uelewa umeuonesha kwenye written interview, na kuna uwezekano mkubwa wote mkayajibu kwa usahihi. Ninaamini swali la kwanza au la mwisho kwenye oral huwezi kuulizwa swali kama ulilotoa mfano hapo juu. Maswali ambayo hayaoneshi uhusiano wa moja kwa moja na taaluma yako, lakini yanakufanya ujifunue kwa msaili ili akutambue ulivyo, ndiyo yatakayowatofautisha kati ya msailiwa mmoja na mwingine. Kumbuka kwenye oral wote mliobaki ni mabingwa na wote mnaweza kuifanya hiyo kazi bila shida yoyote!! Kinachotafutwa ni kuwatofautisha ili kupata wachache maana nafasi ni chache na wengine mnabaki data base!! TAKE NOTE OF THIS!! Confidence & personality ni ya muhimu sana pia. Sisemi kwamba wewe huna confidence & personality lakini nashauri kwa ujumla wake hapa jamvini kwa manufaa ya wengi.
Sio USAHILI ni USAILIUsiwe mjinga mjinga kwa kitu usichokijua we kijana,Magufuli alizibiti hicho kitu Cha kuchomeka majina toka mfukoni,tulio UTUMISHI ndo tunajua,we utajua Nini hata kazi hujapata?? Unajua kufanya usahili tu
Psrs wanazingua sana tu kwa sababu huwezi kutoa multiple advertisement kila siku na database imekuelemea.hilo swali nililotoa mfano tuliulizwa. maana nasema kwanye sayansi au afya jibu ni moja tu. japo wanaficha matokeo ya oral ila maswali yao mengi yanajibika wanaficha maksi za oral alafu wenyewe wanaamua wampe nani. mfano mm nauhakika nipo kanzidata ila nafasi hawatupi kila siku kutangaza matangazo mapya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh hzi mambo za status zipoo tuu bado mkuu?Wakuu kumbe status kwenye app zina maana Kuna mwamba hapo alipiga oral interview ya ardhi majina yametoka Jana status imerudi not selected for oral interview ya red
Umenshtua mpk nimeamua nikaenda kuangalia status yangu ipoje,Wakuu kumbe status kwenye app zina maana Kuna mwamba hapo alipiga oral interview ya ardhi majina yametoka Jana status imerudi not selected for oral interview ya red
Ina maana kwenye kada yenu hajaitwa hata mmoja? Kama hajaitwa hata mmoja maana yake kuna siku wataita! Kama wameitwa baadhi lakini idadi haijafika ile waliyokuwa wanataka, basi wataendelea kuita hadi idadi ile itimie.hilo swali nililotoa mfano tuliulizwa. maana nasema kwanye sayansi au afya jibu ni moja tu. japo wanaficha matokeo ya oral ila maswali yao mengi yanajibika wanaficha maksi za oral alafu wenyewe wanaamua wampe nani. mfano mm nauhakika nipo kanzidata ila nafasi hawatupi kila siku kutangaza matangazo mapya.
Sent using Jamii Forums mobile app
udhibiti not uzibiti .yuko wrong sehemu nyingi tu ,sijui yuko utumishi ya mabwe pande. tusitumie oppressive /harsh languange kwenye kuelimishana wakuuSio USAHILI ni USAILI
Vipi mkuu hujalamba asali mkeka wa leooudhibiti not uzibiti .yuko wrong sehemu nyingi tu ,sijui yuko utumishi ya mabwe pande. tusitumie oppressive /harsh languange kwenye kuelimishana wakuu
Sijuh watatufikia linii kaka?? Coz mm now hata hizo nauli zimekata kabisaanawaona ma agro officer na wachumi wakilamba post ila bado sijapata ,ila imani ipo now natafuta nauli nipige pige written zijazo
Then kuna mtu anasema database ni best loserIla aiseee haya mambo ni Mungu ndo anakuandikia, kuna wanangu wamekosa direct placement za RUWASA, wamepata TANROADS database[emoji119]
Hongera mkuuAsante Yesu.! I am among.
Is a matter of time kila mtu atapangiwa kituo cha kazi.
Hongera sana!! Mshukuru Mungu na ukawe mtumishi mwema!! Ni vizuri kuona watu wanatoa ushuhuda hapa. Hii inatia nguvu watu kuendelea kusubiri.Asante Yesu.! I am among.
Is a matter of time kila mtu atapangiwa kituo cha kazi.
PSRS wanakosa kweli mtu kutoka Database kujaza ile nafasi moja wametangaza leo tarehe 10 CBE kwa kada ile ya HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST II ?Ina maana kwenye kada yenu hajaitwa hata mmoja? Kama hajaitwa hata mmoja maana yake kuna siku wataita! Kama wameitwa baadhi lakini idadi haijafika ile waliyokuwa wanataka, basi wataendelea kuita hadi idadi ile itimie.
pole mkuu,omba ulinzi ama post za manispaa kama revenue collector mkuuSijuh watatufikia linii kaka?? Coz mm now hata hizo nauli zimekata kabisaa