Tusifiki huko wakuu sote ni ndugu......wewe ndio mpumbavu, hanithi wewe, kama upo utumishi mimi hayanihusu kiukweli, usidhani kila mtu unakuja kumtukana tu
wewe ndio mpumbavu, hanithi wewe, kama upo utumishi mimi hayanihusu kiukweli, usidhani kila mtu unakuja kumtu
Ugumu wa maisha usikufanye kuwa na hasira dogo,,we pambana najua mtaan pagumu sana sana mno,so Muombe Mungu akusaidie upate kazi ,hizo nguvu zitumie kutafuta kazi na siyo kutukanq watu wakubwawewe ndio mpumbavu, hanithi wewe, kama upo utumishi mimi hayanihusu kiukweli, usidhani kila mtu unakuja kumtukana tu
sina hata shida nae usiwaze mkuuTusifiki huko wakuu sote ni ndugu......
Tusamehane yote hayo yanapita tu
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Kapambane hadi tone la jasho la mwishoBeen sorted, thanks!
Asnte best,Hongera
Asante kiongozi wangu,Hongera mkuu
Ni sahihi kabisa, hata mimi nilipokua naona testimon za wadau nilikua nafalijika sana kwamba ipo siku nami nitakua miongoni.Hongera sana!! Mshukuru Mungu na ukawe mtumishi mwema!! Ni vizuri kuona watu wanatoa ushuhuda hapa. Hii inatia nguvu watu kuendelea kusubiri.
Asante sana ndugu yangu. Mungu mwema kwa sisi sote.!
Asante Mwifwa, ni kijana pekee usiyechoka kuandika positive couragement kwenye huu uzi pamoja na kwamba umeingia kwenye kitengo murua.Hongera sana mkuu.
Kila la kheri, karibu sana kwenye Utumishi wa Umma
Asante best,Hongera champ
Nahisi ndio maana halisi ya kuchakata ajira.Yaani ninyi mliofanya usaili wkt ule mnachakatwa kuitwa kwa namba yenu na ya database.Na ktk kuchakata kuna nafasi mpya so lazima watangazePsrs wanazingua sana tu kwa sababu huwezi kutoa multiple advertisement kila siku na database imekuelemea.
Haiwezekani watu 300 wote ukose hata 1 aliyefanya vizur akakosa nafasi ukamuweka database
HongeraWakuu,
Nashukuru Mungu Leo kwenye hizi placement namim jina langu limo
Shukran mkuu
Hongera sana ukawe Mtumishi mwemaWakuu,
Nashukuru Mungu Leo kwenye hizi placement namim jina langu limo
Sawa mkuu🙏🏼Hongera sana ukawe Mtumishi mwema
Hongera sana mkuuWakuu,
Nashukuru Mungu Leo kwenye hizi placement namim jina langu limo