Kalikenye_91
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 227
- 607
Mchawi hicho cheti Cha JKT, au JKU.Nawahamasisha vijana, angalieni na huku pia kutatoka asali! Bado siku tano tu muda wa maombi ufikie kikomo:
Ni kwa wale wenye fani zao hasa eneo la afya, mifugo, kilimo, uvuvi, na ufundi. Magereza kumenoga!
Ukishachukuwa barua toka psrs unatakiwa kuripoti kituo chako cha ajira ndani ya siku 14 baada ya kuwa umepokea barua hiyo. Ukisharipoti kwenye kituo chako cha kazi na kujaza fomu ya personal particulars, utatakiwa kusubiri hadi utakapoitwa kwa simu!! Hawakuambii utapigiwa simu lini ila uzoefu unaonesha kuwa walio wengi hupigiwa simu baada ya siku 14, japo wengine inaenda hadi mwezi mmoja au zaidi. Ndio maana inakubidi kujipanga vizuri!!Kwa hiyo ukiichukua barua psrs ndani ya wiki unapasika kuipeleka halmashaur husika ndani ya muda gani?
Na baada ya kupeleka barua halmashaur unaambiwa urudi utapigiwa simu, ni baada ya muda gani ndo wanawapigia simu??
Ni kweli kabisa!! Hilo sharti kusema kweli si la haki kwa mazingira ya sasa, ambapo serikali haina uwezo wa kuwapatia fursa vijana wote kupitia mafunzo ya JKT. Kila kitu huanza kwa malalamiko na kutoa hoja zenye nguvu. Mwisho wa siku serikali itakuja kuliona hilo. Nakumbuka miaka ya nyuma kidogo ilikuwa kila mwajiri katika utumishi wa umma akitangaza nafasi za ajira moja ya sifa ilikuwa ni kuwa na uzoefu wa miaka angalau 2. Watu wakalalamika wakasema, huo uzoefu tutaupatia wapi kama hatuajiriwi? Mwisho wa siku hilo sharti likafutwa kwa nafasi zilizo nyingi serikalini na taasisi zake. Kwa hiyo na hili sharti la JKT likilalamikiwa na wengi lazima litatafutwa!! Ila iwe kwa yule aliyepewa fursa ya kujiunga na JKT halafu akakataa, huyo asipewe nafasi kwenye majeshi.Mchawi hicho cheti Cha JKT, au JKU.
Hayo mambo usiyatafakari kiasi cha kukuchanganya!! Kubebana nchi hii hakuishi japo kwa kweli psrs wamejitahidi na wamebanwa sana na taratibu!Mkuu, asante sana. Nimekuelewa vema.
Umenikumbusha jambo.
Kuna jamaa tulisoma wote Chuo kimoja, Mwaka mmoja wa masomo lakini Kozi tofauti (Yeye Kozi X, mimi Kozi Y). Huyu jamaa alikuja akapangiwa kituo cha kazi halmashauri flani kama Afisa Y (zingatia alisoma Kozi X na angeitwa kama Afisa X, lakini akaitwa kazini kama Afisa Y). Nafasi ile haikuwahi tangazwa, ingetangazwa tungeiona na ku-apply sababu tupo wengi tulo-graduate na bado ni jobless. Huyu jamaa mara kwa mara tukiwasiliana hua ninamuuliza hivi ulipataje hiyo nafasi na wakati ulisoma Kozi tofauti na hiyo nafasi, hakuwahi nijibu kabisa zaidi ya kucheka na kuleta story za mzaha. Ila nilipokaa na kutafakari nikagundua aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara (kipindi jamaa ameenda kazini) inayosimamia taasisi za Kada yangu na yake alikuwa ni mtu wa jimboni kwao (kwa sasa ni Mbunge) na huenda alikuwa ni connection yake. Hizi mambo zinachanganya sana.
Imagine Kitenge ndo baba yako, unakosaje kazi BOT pale[emoji3]
Bila shaka huwa anapitia hapa pia kuona wateja wake (watafutaji wa ajira) wanapitia kwenye changamoto zipi!!
Hawa hupenda kufanya usaili fresh wenyewe, na usaili hufanyikia vyuoni. Ukifikiri kwamba uko kwenye database utasubiri sana kama ndoto yako ni kuwa academician!! Jitose tu ukafanye tena kama ulishafanya!Wakuu naomba kuuliza hivi hizi kazi za tutorial assistant na assistant lecturer huwa ukifaulu unatunzwa kwenye kanzidata ya waliofaulu usahili wakakosa nafasi au hazina database.
Mbona naona psrs kila mara wanarudia kuzitangaza na watu wamefanya usahili mara nying mfano udsm, udom mocu ardhi mzumbe iaa nit tia muhas kcmc irdp naona zinatangazwa many times.
Naomba ufafanuzi
Ila kuna wengine ni waadilifu usipime! Kama ana sifa atatakiwa akapambane!! Na huko kwenye paper hutumika namba na si jina!! Watoto wa Nyerere walitakiwa kupambana sambamba na watoto wa watanzania wengine! Je tuna waadilifu kiasi hicho waliobakia hapa Tz?Imagine Kitenge ndo baba yako, unakosaje kazi BOT pale[emoji3]
Mbona nimeona kwenye kanuni zao zinaelezea database ya wakufunzi?Hawa hupenda kufanya usaili fresh wenyewe, na usaili hufanyikia vyuoni. Ukifikiri kwamba uko kwenye database utasubiri sana kama ndoto yako ni kuwa academician!! Jitose tu ukafanye tena kama ulishafanya!
Aje atupe za ndani PDF la databasemakofia360 upo ndugu yetu??
Pdf mkuu inatema kwa spidi ya choo cha mbuzi tahamaki imekwishaaaAje atupe za ndani PDF la database
Yan psrs watatuua kwa preshaPdf mkuu inatema kwa spidi ya choo cha mbuzi tahamaki imekwishaaa
Sawa mkuu.Nipo uwanja wa Data hapa kuna wadau wanachukuwa barua ngoja,,,,kuna mdada kaingia ndani na masijala kabeba vitu kama barua hivi ila ngoja nifwatilie vizuri kama ndizo basi pdf nyingine haiko mbali
Vp leo pdf mkuu?Watu wa Afya Afya database mmepungua mno advertisment is
Next week nakuja hapo psrs naomba nikuone dereva bajaji.!Watu wa Afya Afya database mmepungua mno advertisment is coming soon.....
Nenda taratibu! usije ukapigwa na kitu kizito kichwani, mjini hapa!!Next week nakuja hapo psrs naomba nikuone dereva bajaji.!
Naomba namba yako pm tafadhal.!