Sawasawa mkuu embu ulizia kama Kuna database ya wakufunzi na hizi tutorial assistant kama mtu alifaulu usahili akakosa nafasiNipo uwanja wa Data hapa kuna wadau wanachukuwa barua ngoja,,,,kuna mdada kaingia ndani na masijala kabeba vitu kama barua hivi ila ngoja nifwatilie vizuri kama ndizo basi pdf nyingine haiko mbali
Kwann asa asionane nae tatizo lipo wapi au kuwa kwenye huu uzi ushakua adui wa psrsNenda taratibu! usije ukpigwa na kitu kizito kichwani, mjini hapa!!
una uhakika gani kama ni kweli huyo ni mtumishi wa psrs?Kwann asa asionane nae tatizo lipo wapi au kuwa kwenye huu uzi ushakua adui wa psrs
[emoji1787][emoji1787] kwenye hili taifa.Ila kuna wengine ni waadilifu usipime! Kama ana sifa atatakiwa akapambane!! Na huko kwenye paper hutumika namba na si jina!! Watoto wa Nyerere walitakiwa kupambana sambamba na watoto wa watanzania wengine! Je tuna waadilifu kiasi hicho waliobakia hapa Tz?
Yy sio Mtumishi wa psrs ni mshkaji tupo naeuna uhakika gani kama ni kweli huyo ni mtumishi wa psrs?
Hata ingekua ww ni mfanyakazi wa psrs usingeacha kumsaidia mwanao au ndugu yako[emoji1787][emoji1787] kwenye hili taifa.
Sahihi kabisa cha msingi awe na qualifications.Hata ingekua ww ni mfanyakazi wa psrs usingeacha kumsaidia mwanao au ndugu yako
Hizo nadhani hazinaga kanzidata. Ndiyo maana nafasi huwa zinatangazwa mara kwa mara.Wakuu naomba kuuliza hivi hizi kazi za tutorial assistant na assistant lecturer huwa ukifaulu unatunzwa kwenye kanzidata ya waliofaulu usahili wakakosa nafasi au hazina database.
Mbona naona psrs kila mara wanarudia kuzitangaza na watu wamefanya usahili mara nying mfano udsm, udom mocu ardhi mzumbe iaa nit tia muhas kcmc irdp naona zinatangazwa many times.
Naomba ufafanuzi
Labda inawezekana, psrs wana siri sana. Si ndiyo maana majibu ya oral huwa hawayatoi!Mbona nimeona kwenye kanuni zao zinaelezea database ya wakufunzi?
Mm hata hiyo GPA sina unaweza kuwa na ndoto Ila GPA ikakusaliti
Kuna jamaa anasema alifanya usahili hizi Kaz za tutorial chuo flan hakupata nafasi badae akaja kupangwa kwenye taasisi nzuri zaidi ya Kaz ya academician aliyoomba asa nikajiuliza Kuna ukweli au alitupiga kamba
[emoji4][emoji4]...pamoja mwamba...naona halmashauri ndo zinaishia ishia hivyo!Nipo uwanja wa Data hapa kuna wadau wanachukuwa barua ngoja,,,,kuna mdada kaingia ndani na masijala kabeba vitu kama barua hivi ila ngoja nifwatilie vizuri kama ndizo basi pdf nyingine haiko mbali
Usikute makofia360 ndo Kitenge mwenyewe [emoji1][emoji1][emoji1] (jokes)Next week nakuja hapo psrs naomba nikuone dereva bajaji.!
Naomba namba yako pm tafadhal.!
ππππππDah π€£π€£π€£π€£π€£Usikute makofia360 ndo Kitenge mwenyewe [emoji1][emoji1][emoji1] (jokes)
Sent using Jamii Forums mobile app
π€£π€£ Haiwez kuwUsikute makofia360 ndo Kitenge mwenyewe [emoji1][emoji1][emoji1] (jokes)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka jana wamesepa na kijijiTPA watoe fursa kitambo sana nao wamekaa kimya kwa kada yetu maana ndio tunawategemea
Nimesoma majibu yote uliyojibiwa kuhusu jambo lako, mimi nakushauri hivi pia.Nilikua naahitaji muda wa kufanya maandalizi hasa hela ya kujikimu na Lodge
Hilo pia linawezekana kabisa!Usikute makofia360 ndo Kitenge mwenyewe [emoji1][emoji1][emoji1] (jokes)
Sent using Jamii Forums mobile app
Itatoka Leo kwel au ndo zitakaa hapo mpaka waajiri watupgie simu πππNi zenyewe aiseee PDF loading,,,,,,,,
za halmashaur au vpNi zenyewe aiseee PDF loading,,,,,,,,