HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nyie mko taasisi gani hizo per diem 100,000 taasisi nyingi naona ni 150,000, 170,000 na kuendelea kwa degree holder

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu afya au Elimu?
 
ishu ni kwamba tunafaulu ila hawatupi nafasi kutoka kanzidata. wanajitoa ufahamu.

ngoja tuskilizie mikeka ya wizara ya afya na tamisemi kwanza . tukikandwa huko tutarudisha mapambano utumishi.

itoshe tu kusema kuna upungufu wa watumishi kada za afya ila utumishi wanajitoa ufahamu na hilo database lao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunashkur mkuu maana wengi wetu haya mambo ni weupe.!
Hivi pesa ya kujikimu huwa inatoa halmashaur kutoka kwenye mapato yao au inatoka hazina kama ilivyo mishahara?
mbingunikwetu
 
Kanzidata japo ina kanuni na miongozo yake ila mwajiri ndio mwenye uamuzi wa kukubaki au kukataa.

Hizi zinazotangazwa ilihali tunaona huenda kuna watu wapo kanzidata ujue mwajiri hajataka apewe kutoka Kanzi data.
 
Kanzidata japo ina kanuni na miongozo yake ila mwajiri ndio mwenye uamuzi wa kukubaki au kukataa.

Hizi zinazotangazwa ilihali tunaona huenda kuna watu wapo kanzidata ujue mwajiri hajataka apewe kutoka Kanzi data.
hivi mwajiri anajipangiaje ? mwenye mamlaka ni PSRS na iwalazimishe wachukue wa kanzidata FULL STOP.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwa mfano mtu umereprt tarehe 21 mwezi X, unatakiwa kulipwa mshahara wa huo Mwezi husika au inabidi subiri mpka mwezi unaofuata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…