mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Kitaalamu ni kwa mujibu wa nyaraka za serikali. Rais Samia alipandisha kiwango cha chini toka 80,000/= hadi 100,000/= na alipandisha kiwango cha juu toka 120,000/= hadi 250,000/=. Hakuna anayepaswa kulipwa chini ya 100,000/= na hakuna anayepaswa kulipwa zaidi nya 250,000/=, Ona hapa:Mbona wengine ni 80,000 hii imekaaje kitaalam?
Kwa maana hiyo, tulioandikia barua za kuomba posho ya kujikimu kwa kiwango cha 80,000 na degree holder tumejila sio[emoji38]Kitaalamu ni kwa mujibu wa nyaraka za serikali. Rais Samia alipandisha kiwango cha chini toka 80,000/= hadi 100,000/= na alipandisha kiwango cha juu toka 120,000/= hadi 250,000/=. Hakuna anayepaswa kulipwa chini ya 100,000/= na hakuna anayepaswa kulipwa zaidi nya 250,000/=, Ona hapa:
Dkt. Ndumbaro amesema kutokana na kibali hicho cha Mhe. Rais, posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma kwa kiwango cha juu imepanda kutoka shilingi 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini kutoka shilingi 80,000 hadi 100,000/=.
Hicho kitu hakipo na bila shaka hujajua undani wake. Iko hivi: Pesa ya likizo inaweza kutofautiana kati ya watu wawili wanaofanya kazi kituo kimoja na wanakwenda likizo sehemu moja kama ngazi zao za mishahara zinatofautiana sana. Sababu yake ni kwamba:Mfano Veta hela ya likizo unalipwa kutokana na mshahara na sio umbali
Inategemea na mshahara wako. Kiwango cha chini ni 100,000/= na kiwango cha juu ni 250,000/=.Weiting for answer too
@mbingunikwetu inaonekana mkuu, unaelewa vizuri hizi issue naomba majibu.Kwa maana hiyo, tulioandikia barua za kuomba posho ya kujikimu kwa kiwango cha 80,000 na degree holder tumejila sio[emoji38]
Mkuu makofia360 unafaham kuhusu mkeka wa TAMISEMI?
Kwa kawaida unatakiwa kuandika barua kuomba kulipwa pesa za kujikimu kama waraka husika unavyoainisha kama stahili ya mwajiriwa mpya. Usitaje idadi ya siku kama huna hakika nayo, na usitaje kiwango kwa siku kama huna uhakika nacho (Lakini ni vizuri zaidi kutaja kama una uhakika nazo). Kwa kawaida mwajiri HAWEZI kukulipa chini ya kiwango na akawa hana hatia. Lakini ukitaja kiwango cha chini mwenyewe kwa ridhaa yako, anaweza naye kuridhia kukupa kiwango ulichoomba na asiwe na hatia, (japo anaweza kukupa kiwango sahihi na asiwe na hatia pia). Tatizo ni maafisa utumishi huwa hawtoi elimu hii kwa waajiriwa wapya japo ni moja ya majukumu yao. Piaa wengi wamo humu wakisubiri kulamba asali, lakini wakipata hugeuka miungu watu na kuanza kuwatesa wenzao!Kwa maana hiyo, tulioandikia barua za kuomba posho ya kujikimu kwa kiwango cha 80,000 na degree holder tumejila sio[emoji38]
Tayari nimeshajibu!@mbingunikwetu inaonekana mkuu, unaelewa vizuri hizi issue naomba majibu.
Ni kweli kabisa mkuu, hatupewi elimu jinsi mambo yanaenda.Kwa kawaida unatakiwa kuandika barua kuomba kulipwa pesa za kujikimu kama waraka husika unavyoainisha kama stahili ya mwajiriwa mpya. Usitaje idadi ya siku kama huna hakika nayo, na usitaje kiwango kwa siku kama huna uhakika nacho (Lakini ni vizuri zaidi kutaja kama una uhakika nazo). Kwa kawaida mwajiri HAWEZI kukulipa chini ya kiwango na akawa hana hatia. Lakini ukitaja kiwango cha chini mwenyewe kwa ridhaa yako, anaweza naye kuridhia kukupa kiwango ulichoomba na asiwe na hatia, (japo anaweza kukupa kiwango sahihi na asiwe na hatia pia). Tatizo ni maafisa utumishi huwa hawtoi elimu hii kwa waajiriwa wapya japo ni moja ya majukumu yao. Piaa wengi wamo humu wakisubiri kulamba asali, lakini wakipata hugeuka miungu watu na kuanza kuwatesa wenzao!
Ahsante Sana mkuuUsiogope soma vizuri imeandikwa "uripoti kituo cha kazi ndani ya siku 14 toka tarehe ya kupata barua"
Hata hivyo kama ni halmashauri watakupigia.
Naomba niweke sawa: Stahiki zote za watumishi wa umma kwa maana ya serikali kuu na taasisi zake na serikali za mitaa hutolewa kwa mujibu wa Government standing orders na nyaraka za serikali. Hakuna taasisi ya umma itakayoweza kulipa posho kama inavyotaka yenyewe. Japo kuna taasisi ambazo ziko vizuri na hiyo posho hutoka kwa wakati bila usumbufu lakini zingine ziko choka mbaya na hutoa hizo stahiki kwa mbinde na mikiki mikiki hadi mtu akomae kudai sana. Pili posho hutoka kwa kuzingatia ngazi ya mshahara na siyo elimu (japo mara nyingi elimu ya juu huendana na mshahara wa juu pia, lakini kigezo ni mshahara.)Inatolewa kwa uzingatia
a)Taasisi
b)Elimu
Shukran sana mkuu 🙏🏼Nimesoma majibu yote uliyojibiwa kuhusu jambo lako, mimi nakushauri hivi pia.
Tafuta hela ya kutosha inayoweza kukukalisha kule kwa angalau siku 5.
Ukiripoti waulize watatumia muda gani kukuita rasmi ukaanze kazi, wakikuambia haijulikani ila watakupigia simu, nakushauri urudi nyumbani uje usubiri hiyo simu. Nauli ya Kasulu - Kibaha haiwezi kuwa kubwa na gharama utakayotumia kukaa kule kwa siku angalau 3.
Au kwa kusamaraizi, karipoti halafu rudi nyumbani, nauli ya kwenda na kurudi haiwezi kuwa kubwa ukilinganisha na gharama utakayotumia kukaa kule kwa angalau siku 3.
Reference: Case study.
Kuna mlamba Asali wa JKCI alitoka mkoani akapeleka barua, akaambiwa asubiri kupigiwa simu akakaa Dar kusubiri, zikapita wiki 2 bado hajapigiwa, hadi akakaukiwa mfukoni akaanza kulalamika(alileta uzi humu), tukaanza kumwambia alikosea, alitakiwa kurudi nyumbani kwanza.
Na wewe usije ukafanya hilo kosa.
Okay nimekuelewa. Nashukuru.!Pesa yote kimsingi hutoka hazina. hata kama ikikusanywq na halmashauri mwisho wa siku hiyo pesa inaingia kwenye mfuko mkuu wa serikali lakini hesabu inaonesha kila halmashauri imekusanya kiasi gani. Matumizi ya halmashauri ni kwa mujibu wa bajeti yao na hutoka hazina (zikiwamo hizo hizo walizokusanya wao).
Vipi ndugu taarifa za next pdf zikoje, asali ni za Halmashauri tu au Kuna taasisi yyteHapana kwa kweli
Naona hii iko too general hivi hakuna sehemu iliyoandikwa may be mwenye scale flani kiwango chake ni kiasi flani katika hiyo range?Inategemea na mshahara wako. Kiwango cha chini ni 100,000/= na kiwango cha juu ni 250,000/=.
Dkt. Ndumbaro amesema kutokana na kibali hicho cha Mhe. Rais, posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma kwa kiwango cha juu imepanda kutoka shilingi 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini kutoka shilingi 80,000 hadi 100,000/=.
Mkuu per diem za safari ni mapato ya ndani, taasisi ikiwa vizuri inaongeza tu hio per diem hata hawajali. Mfano kuna sehem ma juniour officer graduate wanaanza na 170k per diem, na pesa ya kujikimu ilikua 1.5M.Naomba niweke sawa: Stahiki zote za watumishi wa umma kwa maana ya serikali kuu na taasisi zake na serikali za mitaa hutolewa kwa mujibu wa Government standing orders na nyaraka za serikali. Hakuna taasisi ya umma itakayoweza kulipa posho kama inavyotaka yenyewe. Japo kuna taasisi ambazo ziko vizuri na hiyo posho hutoka kwa wakati bila usumbufu lakini zingine ziko choka mbaya na hutoa hizo stahiki kwa mbinde na mikiki mikiki hadi mtu akomae kudai sana. Pili posho hutoka kwa kuzingatia ngazi ya mshahara na siyo elimu (japo mara nyingi elimu ya juu huendana na mshahara wa juu pia, lakini kigezo ni mshahara.)
Yako mazingira ambayo mwenye elimu ndogo ana ngazi kubwa ya mshahara kuliko mwenye elimu ya juu, na kwa hiyo posho yake ya kijikimu inaweza kuwa kubwa zaidi. Moja ya mazingira hayo ni uzoefu kazini. Mtu wa elimu ya chini labda ana diploma lakini ana muda mrefu sana kazini na ameshakuwa principle officer kwenye kada yake na ngazi yake ya mshahara labda ni TGS G. Na mwingine ana digrii na ameajiriwa hivi karibuni mshahara wake ni TGS D. Huyo wa diploma bado atapata posho kubwa kwa mujibu nwa ngazi yake ya juu kuliko huyo wa digrii ambaye bado ngazi nyake ni ya chini.
Hizi ndio perdiem mpya kulingana na scale za mshaharaNaona hii iko too general hivi hakuna sehemu iliyoandikwa may be mwenye scale flani kiwango chake ni kiasi flani katika hiyo range?
Naam! Asante sana mkuuHizi ndio perdiem mpya kulingana na scale za mshaharaView attachment 2618964
Naona wadau wameshaanika tayari waraka husika na viwango.Naona hii iko too general hivi hakuna sehemu iliyoandikwa may be mwenye scale flani kiwango chake ni kiasi flani katika hiyo range?
Hiyo kitu hakuna na haiwezekani kwenye utumishi wa umma. Yatakuwa ni malipo mengine na si subsistance allowance!! Labda kama ni masurufu na mwisho wa siku itabidi ayarejeshe akionesha alivyotumia. Hakuna taasisi inayoruhusiwa kulipa zaidi ya viwango vilivyoainishwa na huwa kuna external auditing kubaini kama matumizi yanalingana na taratibu na nyaraka za serikali zilizopo. Kinyume cha hapo ni ufisadi na ubadhirifu wa mali ya umma. Rejea post ya Mwifwa hapo juu!!Mkuu per diem za safari ni mapato ya ndani, taasisi ikiwa vizuri inaongeza tu hio per diem hata hawajali. Mfano kuna sehem ma juniour officer graduate wanaanza na 170k per diem, na pesa ya kujikimu ilikua 1.5M.
Sent using Jamii Forums mobile app