HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Interview UCSAF senior Fianance officer

1.Explain the qualitative characteristics of financial statement.
2.explain atleast five accounting concept
3.Explain the roles of the conceptual framework.
4.swali la nne lilikua la ku identify ledger
All the best mkuu...huko UCSAF naskia kuna buyu kubwa sana la asali hukoo
 
Na vipi kama ukipata CPA ukiwa kazini kuna kuwa na mabadiliko upande wa mshahara?
 
Na vipi kama ukipata CPA ukiwa kazini kuna kuwa na mabadiliko upande wa mshahara?
Siyo automatically!! Lakini CPA inakupa nafasi ya kupanda cheo, kama nafasi ikitokea. Hiyo ni professional qualification. Haikupi uhalali wa kuongezewa mshahara katika nafasi uliyo nayo, lakini inakupa uhalali wa kushika nafasi ambazo huwezi kuzishika bila kuwa nayo, na nafasi hizo huwa na mshahara mkubwa zaidi.
 
Ahsante kwa maelezo
 
Na vipi kama ukipata CPA ukiwa kazini kuna kuwa na mabadiliko upande wa mshahara?
Huku halmashauri ukiwa na CPA kama unaanza kazi utaanza na TGS E1 daraja moja mbele ya mtu mwenye degree ya fedha asie na CPA TGS D1
 
Weeeeeeee.......
Hii ya negative ndo naisikia leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…