Hakuna mfumo maalum wa maswali cha msingi unatakiwa kujua contemporary issues tu za accountingMsaada jaman aliyewahi kufanya usahili mamlaka ya maji na usafi wa mazingira kada ya Accountant assistant maswali yake yanabase wapi katika written na oral
La msingi ni kuanza na Mungu katika maandalizi na kumaliza na Mungu, kabla ya kuanza usaili , omba kwa Mungu na baada ya kumaliza usaili Mshukuru Mungu nae atakusaidia,kila la kheri Mungu akawatetee wote mnaoenda kushiriki saili za kuandika hivi karibuni.Hakuna mfumo maalum wa maswali cha msingi unatakiwa kujua contemporary issues tu za accounting
-Accounting cycle
- Accounting concepts
- Types of ledgers
- Accounting nature of items eg Debit and credit ( purchase, sales etc)
- components of financial statements
- Elements of financial statements
- Bank reconciliation in general
- Vouching system
- Trial balance
- Book keeping vs Accounting ( differences)
- Accounting errors
Kuhusu mshahara ungeangalia Tangazo la kazi uone scale iliyoandikwa ndio tunaweza kukusaidia kudadavua.Habari wakuu.. sisi wa SIDO.. mechanical engineers tushariport na kuanza kujaza personal particular.. sahv tunasubir kupigiwa simu..
Nimeona mjadala wa pesa za kujikimu na nimeona mtu kakaa miez miwil home then akalipwa mshahara wa mwezi April..
Nina maswali..
cc Skywalker00 mbingunikwetu Mwifwa Mr. Tutor octopas tuusan na wengine
- Mshahara wa Mechanical engineer SIDO ni sh ngapi?
- Kama nimewapelekea barua ya utumishi ya kupata kazi na nimejaza maform yao mwezi huu tar 10.. tutaanza kulipwa mshahara mwezi huu?
- Pesa ya kujikimu kwa engineer ni sh ngap?
- Na stahik gan nyingine tunatakiwa tuzipate for the first appointment?
Amina ndugu tunaisubiria ili tuzidi kujengeka ki Imani juu ya Mungu wetuUpo sahihi mdau, Mungu anajua namna ya kututunza bila ajira na tukipata nayo heri, jambo la msingi kila mtu amtumainie Mungu muumba mbingu na nchi, anayefanya njia pasipo na njia. ( Fikiria hbr ya Musa n.k).
Tusiache ibada binafsi na jumuishi.
Siku nikipata time ya kuandik nitashare experience ya maisha bila imani na pale nilipoweka imani Mbele mambo yalivyo badirika.
Naona hawatumii database kwa academician sababu mfano Hz Kaz za tutorial assistant na assistant lecturer watu wamefanya sana usahili huwez sema wote wanafeli hapana labda kwa baadh ya Kada na PhD candidate uko wataalam ni wachache lakin kusema tutorial assistant ya accounting kweli wote wanaofanya mitihan wafeli ni ajabuDatabase kwa academicians ipo ila tatizo kwenye usahili wengi hawafiki 70% ili uweze kuajiriwa ndo maana nyingi zinakuwa re-advertised.
Ukiangalia placement za halmashaur zimetoka nyingi kiasi na kama watu wanaripoti bila majina kutangazwa hapo tayar wamemaliza kutoa majina.Kingine barua zote zimeandikwa mwezi wa tatu,mtu atakaa kusubiri aitwe kupitia placement wakati wenzie wanapigiwa simu na kazini wanaripoti hapo ndio atabali kuchanganya idadi ya watu kwa kuhesabu kupitia pdf,
Kingine ana uhakika gani kuwa idadi hiyo iliyotakiwa walifaulu sahili ilihali kuna mifano iliyo hai tunaona nafasi unakuta zilikuwa tano wanaitwa 3 na shughuli unakuta imeishia hapo hapo.
Hapa ni kuomba watangaze nafasi nyingine tuendelee kuomba lkn sio kusubiri ndege stand.
Hata speed ya pdf watu hawaoni au ndio kuamini kila halmashauri na wizara bado zinasubiri wafanyakazi??
Tatizo hatupendi kuambiwa na kuujua ukweli ila ukweli ni kuwa ngoma tyr imeisha hiyo
mi nimeona man
Mfwende jiandae na mkando mzito man ,piga kitabu kama huna akili nzuri , nimeona nyomi la watahiniwa huko mtu buku tano na mia tano sijui kada gani ile ,mi nimeona man
usahili ni ushindani . mbino zako siri yakoMfwende jiandae na mkando mzito man ,piga kitabu kama huna akili nzuri nimeona nyomi la watahiniwa huko mtu buku tano na mia tano ,
Hii nchi hii
Duh ! Mi naona wangeweka marufuku yawatu walioko kwenye ajira kuapply hizi kazi mpya ,hii ni ridiculous ,Ni hatari sana,,,afu one year contract [emoji119]
Thanks manMfwende jiandae na mkando mzito man ,piga kitabu kama huna akili nzuri , nimeona nyomi la watahiniwa huko mtu buku tano na mia tano sijui kada gani ile ,
Duh ! Hii nchi hii
Ajira zipi unazungumzia best, kama mtu yupo private ni haki yake kugombea kombe lakin Kama yupo serikalini sina hakika kama anaweza kuja kufanya sahili psrs zaidi ninachojua huwa wanafanya recategorization au kuomba kutoka shirika moja kwenda jingine.Duh ! Mi naona wangeweka marufuku yawatu walioko kwenye ajira kuapply hizi kazi mpya ,hii ni ridiculous ,
Utakuta mtu yupo kwenye ajira na yeye bado anapanga mstari kuminyana na Jobless kugombania nafasi 11
Serikali Inabidi watengeneze strategy mpya ya kupunguza makali kwa wahitimu wa vyuo ,piga marufuku employees au watu wenye ajira kuapply kazi mpya za serikali .
Ni upuuz kuona Lundo la graduates wanasita kitaa wengine wengi hata nafasi za internship wamekosa ,yet bado majitu yapo kwenye ajira yanagombania nafasi nao .
Hakuna mizania sawa hapo
Sio wengi kiasi hicho nafikir kulingana na hoja ya wadau ni halmashaur moja tu watu wake hawakutokea kwenye pdf walipigiwa tu simu na afisa utumishiSasa kama watu wanaripoti kazini bila psrs kutoa placement unafikiri hazijaisha tu na wanavyotoa nusunusu utajuaje idadi imetimia au imeisha ukute watu wamesharipoti kama wanavyoeleza
Upo Kwa Prof. Mpanduji....Hana makuu yule Prof...hakukuwa na tangazo la kazi.. nadhan wole tumetoka database...
hayo makati ya NHIF ni lazima? je kama ulikuwa kwenye NHIF ya mtumishi mwingine aliepo serikalin?..
ningependa kujua unaanza kulipwa mshahara kuanzia muda gan? mwezi uliopata barua toka utumishi na kupeleka hio barua kwa majiri au lini?..
pesa ya kujikimu engineer ni sh ngap?...
sorry, nauliza haya ili tujue stahili zetu au tupate haki zetu.. tusije tukapunjwa pale panapowezekana kupunjwa
Yani tatizo la ajira linazid kukua hapo subiria next year waliopo vyuoni wamalize watu wanaongezeka tu na psrs hawawez kuwanyima wengine nafasi ya kufanya usahili. Na waliopo private sector bado wanahangaika kurud govnt ili wawe na job assurance. Sema hapo kati private sector imeyumba na corona pia ikawafundisha watu ndio maana kila mtu anataka serikalinDuh ! Mi naona wangeweka marufuku yawatu walioko kwenye ajira kuapply hizi kazi mpya ,hii ni ridiculous ,
Utakuta mtu yupo kwenye ajira na yeye bado anapanga mstari kuminyana na Jobless kugombania nafasi 11
Serikali Inabidi watengeneze strategy mpya ya kupunguza makali kwa wahitimu wa vyuo ,piga marufuku employees au watu wenye ajira kuapply kazi mpya za serikali .
Ni upuuz kuona Lundo la graduates wanasita kitaa wengine wengi hata nafasi za internship wamekosa ,yet bado majitu yapo kwenye ajira yanagombania nafasi nao .
Hakuna mizania sawa hapo
hakukuwa na tangazo la kazi.. nadhan wole tumetoka database...
hayo makati ya NHIF ni lazima? je kama ulikuwa kwenye NHIF ya mtumishi mwingine aliepo serikalin?..
ningependa kujua unaanza kulipwa mshahara kuanzia muda gan? mwezi uliopata barua toka utumishi na kupeleka hio barua kwa majiri au lini?..
pesa ya kujikimu engineer ni sh ngap?...
sorry, nauliza haya ili tujue stahili zetu au tupate haki zetu.. tusije tukapunjwa pale panapowezekana kupunjwa
UmejuajeJumatano Kuna pdf nyingine ya MDA mambo bado
Saa nyingine wanauliza tell us about your background;"Tell me about your self? "Tunalujibu vipi namba mfano