Utumishi bhn ,, WCF vacancies compliance officer 11 posts,, shortlisted for interview elfu 5 na kitu ase kuna kutoboa hapa wakuu
Afu ni 1 year contractUtumishi bhn ,, WCF vacancies compliance officer 11 posts,, shortlisted for interview elfu 5 na kitu ase kuna kutoboa hapa wakuu
Afu ni 1 year contract
Bado kwenye familia zetu hizi wakisema mchangishane hela mumlipie ada mdogo wenu wa mwisho anayesoma Chuo, na wewe ukasema huna hela, wanakuona mzigo tu na wanataka ufanye lolote utume hio hela. Aisee! Sijui utakopa wapi, sijui utaomba wapi ila hela itumwe. Mungu atusaidie sana, hatukupenda kuwa hivi tulivo. Mungu pekee ndiye anayegawa hizi riziki
Dah!! Umeongea kwa hisia Kali sanaBado kwenye familia zetu hizi wakisema mchangishane hela mumlipie ada mdogo wenu wa mwisho anayesoma Chuo, na wewe ukasema huna hela, wanakuona mzigo tu na wanataka ufanye lolote utume hio hela. Aisee! Sijui utakopa wapi, sijui utaomba wapi ila hela itumwe. Mungu atusaidie sana, hatukupenda kuwa hivi tulivo. Mungu pekee ndiye anayegawa hizi riziki.
Mungu ni mwema sana mkuu.Bado kwenye familia zetu hizi wakisema mchangishane hela mumlipie ada mdogo wenu wa mwisho anayesoma Chuo, na wewe ukasema huna hela, wanakuona mzigo tu na wanataka ufanye lolote utume hio hela. Aisee! Sijui utakopa wapi, sijui utaomba wapi ila hela itumwe. Mungu atusaidie sana, hatukupenda kuwa hivi tulivo. Mungu pekee ndiye anayegawa hizi riziki.
Amen. [emoji1431][emoji1431]Mungu ni mwema sana mkuu.
Endelea kupambana Yeye muweza wa yote atafungua njia zake[emoji120]
Nakuombea mkuu ikawe kheri [emoji120]Amen. [emoji1431][emoji1431]
Lakini renewable kila mwaka, hilo siyo tatizo. Ingia kwanza kisha utajua namna ya ku-survive humo baadaye.Afu ni 1 year contract
Si vema kukata tamaa,Utumishi bhn ,, WCF vacancies compliance officer 11 posts,, shortlisted for interview elfu 5 na kitu ase kuna kutoboa hapa wakuu
Watu wamechoka na la kufanya wameshindwa hvy wametulia tuUzi umepoa sanaa vjana ni wamekata tamaa na utumishii?wakongwe wa kuulizia pdf za placemnt wamepoteaa kbsa
Jobless ni wengi na siku zijazo usishangae post 1 wanaitwa watu 10kSi vema kukata tamaa,
Ila kwa idadi hii nd'o maana watu wengi wanaona hiyo hela ya nauli ya kwendea Dodoma na ya kulipia malazi ni bora wanywee supu ya samaki tasi tu kitaa!!!
Ni kweli hamna la kufanya mkuu ni kumuachia tu mungu aamueWatu wamechoka na la kufanya wameshindwa hvy wametulia tu
Amen, ikawe hivyo aiseedaah ulinzi umeniweka bize kinoma ila nipo
nipige ramli kidogo
kesho pdf ni 98%
jtano 85%
so tuwe na imani,wiki imekaa ki asali asali hii,muda wowote watu watapungua humu.
Kama umefatilia naona kama utumishi per week wanatoa placement mara 1 zikizidi pdf 2 bas tena za KBdaah ulinzi umeniweka bize kinoma ila nipo
nipige ramli kidogo
kesho pdf ni 98%
jtano 85%
so tuwe na imani,wiki imekaa ki asali asali hii,muda wowote watu watapungua humu.