MD yupi???? Wa nchi gani???? Labda NGOs kwa hapa bongo ilaa Daktari baada ya makato hafiki hata milion.MD baada ya makato anachukua 3M na point. Pia kuna safari na semina kila mwezi na unaweza kuishi kwa posho tu. Pia kwenye baadhi ya taasisi kinachofanya take home iwe kubwa ni kwasababu baadhi ya makato huwa analipa mwajiri na si kutoka kwenye mshahara wako , mfano Tanesco Bima ya afya inalipwa na mwajiri nje ya mshahara wako, yaani NHIF wakikukata mwajili ana replace so haiathiri mshahara wako
Binafsi nimekata tamaa,nilikuwa na group la washkaji zangu watano baada tunadiscuss pamoja hasa inapokuja suala la hizi interview hata saa 2 usiku tulikuwa tunakutana na kudiscuss pamoja na kupeana moyo japo kila mmoja ana mishe inayomuingizia mia mia za kusukuma maisha,bad enough watano wenzangu wote wamelamba asali na mm peke yangu kubaki,baadhi wanasema ukweli walijibu kwa ufasaha maswali matatu na kati yao hakuna aliyejibu yote kwa ufasaha (naamini maneno yao japo sina uhakika),mimi upande wangu nikakomaa na manne moja nikababatiza lkn mwisho wa siku MDA &LGA imeniachia huzuni tu,kibaya kutegemea huko kumefanya nikae na mawazo,rasmi nimetupa taulo acha niendelee na harakati zangu huenda ndio nimepangiwa maana interview zinamaliza hela,zinatupa mawazo na zinakatisha tamaa kabisa kwa kuona kama vile sehemu nilipo hakuna maisha.
Sijui shida ni PSRS,sijui ni UTUMISHI (kama wizara),au ni katibu mkuu kiongozi ila yote kwa yote hata utoaji wa majina nusunusu nao unawaacha wengi na depression maana bora utoe mara moja mtu kakosa amekosa maisha yaendelee.
Hongera sanaaa aseeWakati wa Mungu ni wakati sahihi sana kikubwa tusikate tamaa kuapply na kuattend kwenye interviews na kufanya maombi piah, kila mtu atapata kwa wakati wake.
Nashukuru Mungu nimebahatika kupata kazi kwenye pdf ya jana hakika Mungu ni mwema[emoji119].
Bdo mkuu,vp na ww uliomba nn?kwani wameshaita usaili
Asante sanaHongera sanaaa asee
Hongera sana Madam!!Wakati wa Mungu ni wakati sahihi sana kikubwa tusikate tamaa kuapply na kuattend kwenye interviews na kufanya maombi piah, kila mtu atapata kwa wakati wake.
Nashukuru Mungu nimebahatika kupata kazi kwenye pdf ya jana hakika Mungu ni mwema[emoji119].
Mkuu najua kunae maumivu kwenye huu mchakato wa kusaka asali ila Kamwe usikate tamaa Mkuu, endelea kupambana na kumuomba Mungu wakati wako unakuja[emoji120]UTAFURAHI.Binafsi nimekata tamaa,nilikuwa na group la washkaji zangu watano baada tunadiscuss pamoja hasa inapokuja suala la hizi interview hata saa 2 usiku tulikuwa tunakutana na kudiscuss pamoja na kupeana moyo japo kila mmoja ana mishe inayomuingizia mia mia za kusukuma maisha,bad enough watano wenzangu wote wamelamba asali na mm peke yangu kubaki,baadhi wanasema ukweli walijibu kwa ufasaha maswali matatu na kati yao hakuna aliyejibu yote kwa ufasaha (naamini maneno yao japo sina uhakika),mimi upande wangu nikakomaa na manne moja nikababatiza lkn mwisho wa siku MDA &LGA imeniachia huzuni tu,kibaya kutegemea huko kumefanya nikae na mawazo,rasmi nimetupa taulo acha niendelee na harakati zangu huenda ndio nimepangiwa maana interview zinamaliza hela,zinatupa mawazo na zinakatisha tamaa kabisa kwa kuona kama vile sehemu nilipo hakuna maisha.
Sijui shida ni PSRS,sijui ni UTUMISHI (kama wizara),au ni katibu mkuu kiongozi ila yote kwa yote hata utoaji wa majina nusunusu nao unawaacha wengi na depression maana bora utoe mara moja mtu kakosa amekosa maisha yaendelee.
Hongera sana.Wakati wa Mungu ni wakati sahihi sana kikubwa tusikate tamaa kuapply na kuattend kwenye interviews na kufanya maombi piah, kila mtu atapata kwa wakati wake.
Nashukuru Mungu nimebahatika kupata kazi kwenye pdf ya jana hakika Mungu ni mwema[emoji119].
Mkuu hiyo hali wengi wamepitia ila ilipofika siku rasmi wakawa hawaamini macho yao.Binafsi nimekata tamaa,nilikuwa na group la washkaji zangu watano baada tunadiscuss pamoja hasa inapokuja suala la hizi interview hata saa 2 usiku tulikuwa tunakutana na kudiscuss pamoja na kupeana moyo japo kila mmoja ana mishe inayomuingizia mia mia za kusukuma maisha,bad enough watano wenzangu wote wamelamba asali na mm peke yangu kubaki,baadhi wanasema ukweli walijibu kwa ufasaha maswali matatu na kati yao hakuna aliyejibu yote kwa ufasaha (naamini maneno yao japo sina uhakika),mimi upande wangu nikakomaa na manne moja nikababatiza lkn mwisho wa siku MDA &LGA imeniachia huzuni tu,kibaya kutegemea huko kumefanya nikae na mawazo,rasmi nimetupa taulo acha niendelee na harakati zangu huenda ndio nimepangiwa maana interview zinamaliza hela,zinatupa mawazo na zinakatisha tamaa kabisa kwa kuona kama vile sehemu nilipo hakuna maisha.
Sijui shida ni PSRS,sijui ni UTUMISHI (kama wizara),au ni katibu mkuu kiongozi ila yote kwa yote hata utoaji wa majina nusunusu nao unawaacha wengi na depression maana bora utoe mara moja mtu kakosa amekosa maisha yaendelee.
Hongera sana, kila la kheri na ukawe mtumishi mwema.Wakati wa Mungu ni wakati sahihi sana kikubwa tusikate tamaa kuapply na kuattend kwenye interviews na kufanya maombi piah, kila mtu atapata kwa wakati wake.
Nashukuru Mungu nimebahatika kupata kazi kwenye pdf ya jana hakika Mungu ni mwema[emoji119].
Kaangalie mkuu, ni mkubwa !Duh Kuna mkeka umetoka Jana kumbe ngoja nikaangalie
Duuu!!! Kumbe kuna watu ndani ya nchi hii wana mpiku hadi mbunge per month..Nadaclare interest kwamba sijui mshahara wa medical doctor wa hiyo taasisi ila kwa uzoefu wangu kwenye haya mataasisi, nadhani ulimaanisha kabla ya makato.
Ikumbukwe wastani wa mshahara wa officers kwenye mashirika unarange from 1.5 M to 4 M. Taasisi zinazolipa huko around 4 M ni chache sana wale wakina TPDC, TCRA etc. Mshahara wa 5 M ni wa managers na wakurugenzi mzee. Otherwise kukiwa na evidence nitaeza amini.
Hii ni mishahara iliyopendekezwa pale TPDC, na ilikataliwa
Hongera sana!Wakati wa Mungu ni wakati sahihi sana kikubwa tusikate tamaa kuapply na kuattend kwenye interviews na kufanya maombi piah, kila mtu atapata kwa wakati wake.
Nashukuru Mungu nimebahatika kupata kazi kwenye pdf ya jana hakika Mungu ni mwema[emoji119].
Pole mkuu ni ngumu na mateso jipe muda pumzika kwanza ukae sawa ndio uende tena kwenye interviewBinafsi nimekata tamaa,nilikuwa na group la washkaji zangu watano baada tunadiscuss pamoja hasa inapokuja suala la hizi interview hata saa 2 usiku tulikuwa tunakutana na kudiscuss pamoja na kupeana moyo japo kila mmoja ana mishe inayomuingizia mia mia za kusukuma maisha,bad enough watano wenzangu wote wamelamba asali na mm peke yangu kubaki,baadhi wanasema ukweli walijibu kwa ufasaha maswali matatu na kati yao hakuna aliyejibu yote kwa ufasaha (naamini maneno yao japo sina uhakika),mimi upande wangu nikakomaa na manne moja nikababatiza lkn mwisho wa siku MDA &LGA imeniachia huzuni tu,kibaya kutegemea huko kumefanya nikae na mawazo,rasmi nimetupa taulo acha niendelee na harakati zangu huenda ndio nimepangiwa maana interview zinamaliza hela,zinatupa mawazo na zinakatisha tamaa kabisa kwa kuona kama vile sehemu nilipo hakuna maisha.
Sijui shida ni PSRS,sijui ni UTUMISHI (kama wizara),au ni katibu mkuu kiongozi ila yote kwa yote hata utoaji wa majina nusunusu nao unawaacha wengi na depression maana bora utoe mara moja mtu kakosa amekosa maisha yaendelee.
Shukran sana mkuu
Asante mkuuHongera sana, kila la kheri na ukawe mtumishi mwema.
Karibu sana upande wa pili
Asante sanaHongera sana.
Asante sana ni neema ya MunguHongera sana Madam!!
Ndiyo bossHapa ni baada ya nyongeza ya mwaka jana?