HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Shukrani mkuu kwa kunipa moyo japo maumivu hayaishi hasa haya ta kuishi kwa matumaini kuwa huenda kesho ikawa yangu kila siku..ujue kuna watu tupo private na sometimes tunapata tu vizuri lkn hatuna assurance ya kesho yetu tofauti na mtu aliyepo gavoo ndio maana tunatamani sana.
 
Mkuu usikate tamaaa kikubwa endelea na kazi zao lkn u3ndelee pia kufanya interview za utumishi utafanikiwa na wewe kwa wakati wako.Kukata tamaa maana yake hakuna siku utakuja kufanikiwa ,ni ngumu pia kusubiria kitu lakini waswahili wanasema subira yavuta heri usichoke kusubiri utapata tu huko MDA endelea na maombi .
 
Mshukuru Mungu hata wewe upo Private, kuna wengine hawapo hata private wapo wapo tuu!..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikua mchangiaji sana humu , ila nilikuwa nikija maramoja moja kusoma comments za wadau.Hakika kuna mda nilikata tamaa nikijua kuwa kazi nilishakoza kwasababu idadi iliokuwa inatakiwa ilishakamilika. Namshukuru mwenyezi nami nimepata kazi.Msikate tamaa wengi mpo database!
 
Hongera sana mkuu,,,,,
 
Hongera
 
Sa kwanini walimu wanalalamika sana maisha magumu kuliko hao MaHR, na wengineo walioko Halmashauri?
Swali zuri, ni hivi, pamoja na mshahara wao kuzidi kwa elfu 10 lkn bado wanaonekana mshahara mdogo sababu niijuayo mimi ni kutokuwa na pesa zaidi ya mshahara tofauti na wengine malupulupu ni mengi kabla mwezi kuisha utakuta una hata ka laki 2 mpaka 3, pia kada nyingine huwa naona ni rahisi kupata muda wa kuzungukia mambo yako kuliko mwalimu anabanwa darasani. Mwalimu the only advantage ni mpaka ateuliwe akasahihishe mitihan au kusimamia ambayo ni nadra.
Lakini ni kazi nzuri wengi wapo vzr kuliko kuto kuwa,
 
Je kwa Halmashauri watu gani wana unafuu kdgo wa hizo posho!?
 
Hongera sana chief.
 
Hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…