HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hahahhaha! Na wale wa asali na sukari gulu kuna ;la kujifunza. Mmesikia suala la vijana wadogo wa TRA??? Vijana utumishi wa umma ni kama wito usitegeemee kwenda kuwa tajiri kupitia rushwa.
vijana wamefanyaje??
 
😃😃😃😃 , kwamba vijana wa TRA wamezidisha Mbinyo bila huruma mpaka wafanyabishara wa Kariakoo wamepiga mayowe😃😃😃😃😃 ,
Acheni vijana bana ,wana hasira na msoto wa kitaa wakikumbuka mlivyokuwa mnawadharau kwa kejeli , halafu unakuta ni Jobless hawa waliolamba asali juzi ,manina kama vile mwanajeshi aliyetoka depo ,jichanganye upasuke taya 😄😄😄😄
Task force hoyeeeee 😃😃😃😃😃
 
Task force imepigwa ban
 
 
Kama ni uzalendo kwanini mmoja umlipe milioni 2 na mwengine laki 7. Wakati wote wana degree moja
 
Kama ni uzalendo kwanini mmoja umlipe milioni 2 na mwengine laki 7. Wakati wote wana degree moja
Inabidi ukubali kuwa digrii pia hupishana uzito!! Kuna wanaohitimu baada ya miaka 6 yaani miaka 5 chuoni na mwaka 1 internship! Zingine ni miaka 3. Risk factor pia hutofautiana kati ya kazi moja na nyingine. Tofauti hizi hupelekea malipo tofauti hata kama mwajiri ni mmoja!! Kufumbia macho au kutokuuelewa ukweli huu itawafanya watu watilie shaka upeo wa uelewa wa vijana wetu!! Hiyo tofauti uliyoitolea mfano ni ya kufikirika wala haipo!!
 
Dahh ngoma nzito mpaka sasa mpaka unahisi kama umerogwa au una laana.

Nimepiga oral ya MDA LGA ila kila pdf inayotoka patupu ila wana wanapata na wameshaenda kuripoti kazini.

Nimepiga oral ya takukuru juzi tu hapa nayo matokeo patupu ila wana wamepata na wapo kozi sasa ccp moshi.

Naamini na mimi nitapata kazi hata kama sio leo ila nitapata tu kwa uwezo wa MUNGU.
 
Miongoni mwa sifa ya Mwenyezi mungu ni uadilifu na mwingi wa kuruzuku na wala hapangiwi nini cha kufanya dhidi ya mtu fulani, basi tambua rizki yako ipo tangu uko tumboni mwa mama na utaipata kama vile ulivyoandikiwa kabla ya roho yako kufika kwenye mitulinge miwili ya shingo.

Subiria buyu la Asali linakuja.
 
tth
100% true
 
Task force ni vibarua tu wa tra wala sio waajiliwa ni kama mgambo fulani
 
Habari, mimi ni mhitimu wa chuo fulani. Bado sijaanza kufanya mchakato wowote wa kutafuta ajira popote, natumai nitaanza siku za usoni. But huwa napata faraja sana napoona watu wanasema wamepata ajira japo siwajui wala hawanijui, huwa nawafurahia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…