Hahahahahaha ety wanaremba website yao alafu kweli wanagawagawa ili wailembo uuni mtupuPsrs ni jipu uchungu unakuta PDF moja wanaigawa vipande vipande ili kuremba website yao lakin hamna lolote wanalofanya kama tangazo la kazi ni 1 usahili mlifanya pamoja kwanini wasitoe PDF moja nzito kazi ikaisha wakapunguza attention kwa jobless na depression wanayowapa watu?
Kwan inachukua muda gani Hadi wakuingize kwenye payroll ya serekaliKwa taarifa yako kupigiwa simu haina maana kwamba mwajiri amejiandaa kukupokea na kukupa pesa za kujikimu. Maana yake ni kwamba umeshaingizwa rasmi kwenye pay roll ya serikali na uhakiki wa vyeti umekamilika. Wapo waliopigiwa simu na bado hawajapata posho ya kujikimu na nina mifano halisi!! Ilikuwa hivi: Waliporipoti na barua ya psrs waliishia kujaza taarifa binafsi, kuonesha vyeti na kuambiwa rudini tutawaitya kwa simu. Baada ya wiki mbili wakapigiwa simu. Walipofika kazini walipewa barua rasmi za ajira, kupewa maelekezo ya majukumu yao, wakapewa fomu za kuomba ruhusa siku 14 na wakaondoka. Huku nyuma wakaambiwa posho zao. zinashughulikiwa! Kuna wengi ni miezi sasa posho bado ni kitendawili!!
Inategemea na kasi ya mwajiri kuwasilisha nyaraka zinazohusika hazina. Uzoefu wa watu sasa hivi unaonesha huchukua kati ya wiki 2 na mwezi mmoja. Japo kwa nadra inaweza kuwa zaidi ya mwezi mmoja.Kwan inachukua muda gani Hadi wakuingize kwenye payroll ya serekali
Kwa io sahihi ni kusubiri simu au kwenda baada ya siku 14?Anaye kwambia usubir kupigiwa simu hao nafikir ni bora hata kama utaisha mwezi hujapigiwa maana wanataka wakuandalie mazingir kwanza mfano pesa ya kujikimu, sasa ukiambiwa baada ya wiki 2 uje unafika huna hata pesa mshahara ndo hivo tena bado process hazijakamilika na pesa ya kujikimu bado.
Unafikir utaishije mazingir ya kigeni ukute nauli tu laki + kwenda tuu hiyo.
Mwanamaji
Asante sana nitatoa shukran pia nitakuwa mtumishi mwema[emoji4]Hongera sana madam,
Kumbuka kutoa Shukrani kwa mafanikio hayo uliyopata, hakika halikuwa jambo rahisi
Nakutakia ukawe mtumishi mwema mwenye kufata Sheria, kanuni na taratibu za kazi yako
Nenda kimbinyiko magari ya UDOM yanapaki hapoTunaokandwa kesho tupo kweli!!!
Naona stand ya Saba Saba imehamishwa sijui kesho tunapandia wap
hizi saili zenye practical kubebana kupo sana. yaani unakuta mtu mmoja ameshapangwa kabisa kupewa kazi wanascore ata 95 kweny practical ilimradi apate iyo kazi maana wanajua wanajumlisha marks za prac + oral interv. saili zenye practical hamna haki mule
Hata kimbinyiko pale gari zipoMACHINGA COMPLEX
Hongera sana mkuu,
Hakika wakati wa Mungu umefika, kumbuka kutoa Shukrani kwa hilo.
Mwisho, nakutakia Utumishi mwema katika majukumu yako.
Kila lakher mkuu.Naingia Dom now...
Amina sanaaa[emoji2969][emoji2969]Wote mnaotarajia kufanya usaili leo, tunawatakia saili njema , Mumuombe Mungu kabla ya kuanza saili naye ni mwaminifu atawabariki na kuwatangulia . BWANA AWAPE KIBALI CHAKE MKAFAULU NA HATIMAE KUWAPA KAZI.
Wamekuzuia usiingie kwenye mtihani??Mimi wamenishangaza walitaka watu wa Administration waombe na ilikubali, ila hapa mwishoni wamenicancel na Administration kuwa sio relevant degree.
Vigezo vilikuwa awe na linguistics certificate , na Administration and secretarial.
Basi pale awali wangezuia system yao kuruhusu watu wenye irrelevant certificates, naona ikiwa hivi pesa zetu waombaji zitakwenda Bure.
Salama kabisaHabari za majukumu wapendwa?
Nilivyomuelewa mm ni kwamba majina ya waliokuwa shortlisted yalivyotoka amekuwa not shortlisted na sababu ndio huyo aliyoitaja hapo hivyo hata hajahudhuria kabisa kwenye chumba cha mtihani.Wamekuzuia usiingie kwenye mtihani??
Hapana sijawa shortlisted kabisaWamekuzuia usiingie kwenye mtihani??