Mtu alie pata zero ndo hawa huwa wapo vizuri sana kichwani na wanaupeo mkubwa sana kufikiri sema paper kama ile inawafanya wazalilike kisa maswali ya ajabu ajabu, mambo kama haya ndo mtu anakuja kuwa mtu mkubwa mkashangaa, what is zero?Ni hatari!! Lakini hiyo zero itawafanya wakasirike sana, kwa hiyo interview nyingine lazima walambe 90+
Kuna jamaa Afisa hesabu II aliporipoti Halmashauri kapangiwa kata, kazi kwake ilikuwa ngumu sana. Safari za Halmashauri kupeleka madokezo nauli hakuna, ofisi hakuna wanakaa sebleni KWENYE jengo la afisa mtendaji.Wakati mwingine hata meza ni shida. Unajibanza kwenye meza ya mtu, hakuna cha orientation wala nini! Unaweza kushinda unasoma gazeti hadi matangazo yote ya biashara. Hii huwa inatokea hasa kama halmashauri inakupangia kwenye kata fulani!! Kazi utaitengeneza mwenyewe kwa ubunifu wako!! Usipokuwa mbunifu utakuwa bored vilivyo!!. Kwenye kata hiyo unajikuta wewe ndiyo afisa pekee kwenye kada yako, ofisi haina hata faili moja linalohusiana na kazi yako, wewe unakuwa ndo kila kitu!!
Sawa kabisa!! Kwenye ile sebule ndo sehemu yao!! afisa kilimo hapo, afisa mifugo hapo, afisa uvuvi hapo nk, ni full stress!! Kwenye vikao vya wananchi vya kata ndo unakuta wamekaa meza ya mbele pale kama WATAALAMU!Kuna jamaa Afisa hesabu II aliporipoti Halmashauri kapangiwa kata, kazi kwake ilikuwa ngumu sana. Safari za Halmashauri kupeleka madokezo nauli hakuna, ofisi hakuna wanakaa sebleni KWENYE jengo la afisa mtendaji. Posho wanayoitegemea ni makusanyo ya taka na ikitoka ni vita Kila mtu anataka, diwani,mtendaji,mwenyekiti wa serikali ya mtaa.
Hapo kufokewa na diwani asiye na utaalam ni njenje!Sawa kabisa!! Kwenye ile sebule ndo sehemu yao!! afisa kilimo hapo, afisa mifugo hapo, afisa uvuvi hapo nk, ni full stress!! Kwenye vikao vya wananchi vya kata ndo unakuta wamekaa meza ya mbele pale kama WATAALAMU!! Kazi yao ni kujibu changamoto mbalimbali zinazoelezwa na wananchi!! Mwananchi akiuliza swali linalohusiana na kilimo, mtendaji wa kata anakuinua kujibu swali!! Huwezi kusema ""mimi ni mgeni tu"!!
Kimuli muli 1 kimezima leo mkeka pssible kabsa ukapandishwangoja nipige ramli kidogo wakuu
leo pdf 95%
kesho 87%
Ewaaaaahngoja nipige ramli kidogo wakuu
leo pdf 95%
kesho 87%
ngoja tusubirie mkuuKimuli muli 1 kimezima leo mkeka pssible kabsa ukapandishwa
Inawezekana kabisa.Jamani naomba kuuliza,kuna uwezekano ukafanya usaili katika vyuo vikuu kwa kada za technician,baada ya matokeo ya waliokua kwenye database ukapangiwa taasisi nyingine kama halmashauri?.
Kitenge akijua hii 👆👆 you finishedBaada ya miaka miwili unaweza kuruhusiwa kwenda kusoma. Japo wengine huweka muda mrefu zaidi lakini kwa vyovyote si chini ya miaka 2. Uzoefu wangu binafsi ni miaka miwili.
Ule mwaka wa probation unahesabiwa pia.
Uncle nakupa pole KWANZAJamani naomba kuuliza,kuna uwezekano ukafanya usaili katika vyuo vikuu kwa kada za technician,baada ya matokeo ya waliokua kwenye database ukapangiwa taasisi nyingine kama halmashauri?.
AiseeMkuu mbona mapema sana...watu walikaa miezi 6 ndio wakaitwa interview na mpaka leo hawajui kama walifaulu au walifeli imebaki kupiga ramli tu
Changamoto sanaWakati mwingine hata meza ni shida. Unajibanza kwenye meza ya mtu, hakuna cha orientation wala nini! Unaweza kushinda unasoma gazeti hadi matangazo yote ya biashara. Hii huwa inatokea hasa kama halmashauri inakupangia kwenye kata fulani!! Kazi utaitengeneza mwenyewe kwa ubunifu wako!! Usipokuwa mbunifu utakuwa bored vilivyo!!. Kwenye kata hiyo unajikuta wewe ndiyo afisa pekee kwenye kada yako, ofisi haina hata faili moja linalohusiana na kazi yako, wewe unakuwa ndo kila kitu!!
Naanza kilimo. Yaani nitalima kama mwehuSawa kabisa!! Kwenye ile sebule ndo sehemu yao!! afisa kilimo hapo, afisa mifugo hapo, afisa uvuvi hapo nk, ni full stress!! Kwenye vikao vya wananchi vya kata ndo unakuta wamekaa meza ya mbele pale kama WATAALAMU!! Kazi yao ni kujibu changamoto mbalimbali zinazoelezwa na wananchi!! Mwananchi akiuliza swali linalohusiana na kilimo, mtendaji wa kata anakuinua kujibu swali!! Huwezi kusema ""mimi ni mgeni tu"!!
Hizi ramli chonganishi hizi" Kitenge akiziona na alivyo na hasira na wasakaajira hatazima vimulimuli!ngoja nipige ramli kidogo wakuu
leo pdf 95%
kesho 87%
Wataalamu wote wa kata hujumuishwa kwenye kamati ya maendeleo ya kata (WDC-WARD DEVELOPMENT COMMITTEE). Hao madiwani ni mabosi kweli kweli (na wengine wanajua kusoma na kuandika tu), watataka kukuendesha!! Ni vizuri kuwa mpole tu kwa malengo, vinginevyo watapiga makelele "hatumtaki huyu kwenye kata yetu, hana ushirikiani na wananchi".Hapo kufokewa na diwani asiye na utaalam ni njenje!
Hapa ndipo maisha magumu yanapoanza. Maana wengi hukopa ili wapate Hela ya kukodi shamba na pembejeo. Sasa usiombe msimu uende vibaya utaongea peke Yako njiani. Huku benki wanakata, Heslb wanakata na maisha yanakataNaanza kilimo. Yaani nitalima kama mwehu
Technician wa Nini?Jamani naomba kuuliza,kuna uwezekano ukafanya usaili katika vyuo vikuu kwa kada za technician,baada ya matokeo ya waliokua kwenye database ukapangiwa taasisi nyingine kama halmashauri?.