Sidhani kama serikali inaweza kutangaza ajira ilihali haina uhakika wa hela....psrs ndio kikwazo.Hilo linaweza kufanyika ila pia watalalamikiwa sana na hawataeleweka kama wanavyolalamikiwa sasa. Tuchukue mfano wa posts za MDA&LGA ambazo zilitangazwa May 2022. Baada ya mwezi mmoja wangeitisha usaili yaani June 2022 na June hiyo hiyo 2022 wangetoa placement. Lakini ujue kuwa ajira hizo zilikuwa zimewekwa kwenye bajet ya 2022/2023 ambazo pesa yake bado haijakusanywa hata shilingi moja maana mwaka wa fedha huanza Julai mosi!! Halafu wangelazimika kusubiri hadi April 2023 ambapo ndiyo MDA&LDA wameanza kupata hilo fungu walilotengewa kwenye bajeti baada ya kuwa limepatikana!! Je unafikiri kusingekuwa na malalamiko? Kuna watu hawajui kama serikali inaweza kuwa haijapata pesa ilizotarajia. kwa hao ni vigumu sana kuelewa! Narudia tena, serikali yoyote haina ujanja wa kupata pesa zaidi ya makusanyo ya kodi, mikopo, na gawio mahali ambapo imewekeza. Lakini chanzo kikuu ni kodi!! Kama kodi ingekuwa inakusanywa kwa kasi iliyotarajiwa matatizo haya yangepungua sana. Ni kweli kabisa wizara nyingi kama siyo zote huwa hazifanikiwi kupewa pesa yote iliyoidhinishiwa kwenye bajeti. Ikitokea hivyo mambo hutekelezwa kwa vipaumbele, na mambo mengine husubirishwa!!.
Hongera mkuuNampa credit sana makofia kwenye za ndani 100%
msimsahau mpiga ramli sawadogo hapa,nipeni maua yangu
Haya yalikuwa mapendekezo tu hayakukubaliwa
Tuendelee kusubir,kuna wiki ipo tu,mambo yatanyookaunaweza harisha wiki nzima ukikoswa na pdf tamu namna hii,aiseeh bado sijafikiwa wakuu
Endelea kuvuta subira mkuuNa hii pdf simo khaa , ngoja niache kabisa kuzifatilia
Siku ukipata placement utajua kwamba psrs hawana hatia shida ni waajiriIla kwa kwel inaumiza sana kwanini wasiwe wanatoa majina yote kwa mkupuo mmoja, au labda kuna sababu ya Msingi sana inayowafanya watoe nusu nusu Ivo, nadhan kuna tatizo hapo
Kuna ndugu yangu amepata leo kupitia data base ya mwaka jana mwez wa 9Tunapokua kwenye mapambano, shuhuda za baadhi ya askari wetu waliotusua ni muhimu sana kutupa nguvu ya kusonga mbele
Mliopata tafadhali tunaomba shuhuda ili sisi tuliobaki tusvunjike moyo tuendelee kupambana hadi siku tutayopata kuingia kwenye mfumo
Hongera sana kwake.Kuna ndugu yangu amepata leo kupitia data base ya mwaka jana mwez wa 9
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hii pdf simo khaa , ngoja niache kabisa kuzifatilia
Hadi wewe? mfumo upi mkuuTunapokua kwenye mapambano, shuhuda za baadhi ya askari wetu waliotusua ni muhimu sana kutupa nguvu ya kusonga mbele
Mliopata tafadhali tunaomba shuhuda ili sisi tuliobaki tusvunjike moyo tuendelee kupambana hadi siku tutayopata kuingia kwenye mfumo