HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nilikua naomba kuuliza kidogo mwenye uelewa atanisaidia kulijibu hili

Mfano mtu kaomba ajira ya mkataba kapata kashaanza ifanya baada ya miezi 3 ,,Kaitwa utumishi ajira yakudumu utaratibu apo umekaa vipi? Uwezekano wakusitisha mkataba uliopo nakuend ajira ya kudumu upo?
 
Nadhan inawezekana, kwa sababu kila mkataba una conditions zake.
 
Ndo nmemaliza kusoma uzi yaliyonipita,special congratulations to you dear.
Hapa sasa sina waswas nam najua one day yes,ww ndo ushuhuda wangu[emoji16].
Am soooo happy for you,Mungu akutangulie kwenye majukum yako mama.
 


Andika barua kwa mwajiri wako wa sasa ukiomba kuacha kazi kwa notisi mliyokubaliana kwenye mkataba

Umemaliza. Unaenda kuripoti kwa mwajiri wako wa ajira ya kudumu unachapa kazi.
 
Ndo nmemaliza kusoma uzi yaliyonipita,special congratulations to you dear.
Hapa sasa sina waswas nam najua one day yes,ww ndo ushuhuda wangu[emoji16].
Am soooo happy for you,Mungu akutangulie kwenye majukum yako mama.
Asante sana mm nawaombea Mungu awasaidie nanyi mpate ndugu zangu, hali ya kitaani sio poa msikate tamaa ipo siku tu nanyi mtaleta shuhuda.
 
Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…