Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Kweli TRA kuna asali nzito mno! Huyo ni afisa tuu.View attachment 2634254
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Ni kweli mkuu!!Rushwa mkuu ila pesa zake nyingi wanakwambia hazionekani kabisa utakua mtu wa madem pombe nknk. Sometimes unapewa hongo ukihesabu ipo sawa ila sasa ukiiweka ukahesabu tena unakuta pungufu. Pesa za wafanyabiashara zina majini sana. Ogopa mtu anayetoa rushwa huku roho inamuuma.
Ndio, kama mimi nimetokea ambaye before nilikua naona giza limetanda psrs hatimae nikatokea from no where, je inashindikana vipi kwa wengineo.!?Kila mtu?? Mhh haya
Amen[emoji120]Asante sana mm nawaombea Mungu awasaidie nanyi mpate ndugu zangu, hali ya kitaani sio poa msikate tamaa ipo siku tu nanyi mtaleta shuhuda.
Hahaa sawa Ndugu, imekaa poa Kama Iko hivoNdio, kama mimi nimetokea ambaye before nilikua naona giza limetanda psrs hatimae nikatokea from no where, je inashindikana vipi kwa wengineo.!?
Naomba kujua pia mbingunikwetuHivi auditor au mhasibu wa halmashauri Wana posho zipi?
Wakuu naomba kuuliza hivi engineer wa tarura analipwaje akianza? Je nisawa na wa ruwasa? Maana niliona tangazo la ruwasa limeandikwa RSS5 mecanical engineer hio ni kiasi gani?
TGS D..wanatumia scale hiiNakazia hapa namm pia nahitaji kujua kuhusu hii scale yao ruwasa kwa entry level.
So kwamaana hiyo wanakiwango sawa na kiwango cha halmashauri?TGS D..wanatumia scale hii
Exactly. Ila kama degree yako umesoma 4+yrs unaanza na TGS ESo kwamaana hiyo wanakiwango sawa na kiwango cha halmashauri?
TGS D..wanatumia scale hii
Sawa maana nimesikia kiwango cha hela ya tarura na ruwasa kwenye scale zao kipi juu ya TGS E nikaona niulize nijue iko vipi, Kumbe engineer wa tarura anakula 1M gross buanaExactly. Ila kama degree yako umesoma 4+yrs unaanza na TGS E
Mzee umepata tetesi za Tarura nini databaseSawa maana nimesikia kiwango cha hela ya tarura na ruwasa kwenye scale zao kipi juu ya TGS E nikaona niulize nijue iko vipi, Kumbe engineer wa tarura anakula 1M gross buana
Hapana Mkuu nilikua nahitaji kujua tu wanalipwaje wahandisi wanaoanzaMzee umepata tetesi za Tarura nini database
Usitishike na TGS kuna ofisi nimelamba asali, wanatumia tgs lakin posho za hapa na pale ni mara2 had3 ya mshahara kwa mwezSo kwamaana hiyo wanakiwango sawa na kiwango cha halmashauri?
Ahaa sawa kabisa kama kuna posho za nana hiyo mambo ni safi aiseeUsitishike na TGS kuna ofisi nimelamba asali, wanatumia tgs lakin posho za hapa na pale ni mara2 had3 ya mshahara kwa mwez