Sasa hv tunasisistizana kupiga kelele why??sisi tumepiga kelele kama uzi unavyosema hakuna aliyetusikikiza,acha maumivu yatuingie pamoja ili tuongee lugha moja,utumishi kuna uzembe ndio umeleta yote hayaAkianza mmoja na wengine watafuata, hasa zile taasisi zenye maslahi makubwa kama BOT nk. TRA ametangulizwa kupima kina cha maji!! Wakiona watu hawajashtuka utakuwa ndio mtindo wenyewe!! Inabidi wadau kwa pamoja wapige sana makelele kwenye mitandao yote ya kijamii!! This is serious, ikiwezekana hata kuandamana kwa amani!!!
Acha povu la kijinga linalokutokaAcha ujinga nenda kafanye mitihani ufaulu kazi utapata. Nchi hii ni lini rushwa iliwahi kuisha. Mnae mtukuza hizo ajira zenyewe zilikua hazionekani. Sasa hivi ajira zimeanza kutolewa mnaenda mnafeli mitihani huko mnakuja kusingizia rushwa. Nenda kafaulu uone kama utanyimwa kazi.
TRA wenyewe bila vigogo wenye maslahi binafsi kuwasimamia wasingeweza ku-force wakafanikiwa!! Kumbukeni wabunge na baadhi ya mawaziri hata spika mwenyewe walishaanza kudai vijana wanaojitolea wapewe kipaumbele!! Hilo PSRS haliko kwenye utartatibu wao kwa hiyo wakubwa walikuwa wanakwama!! Sasa wamekuja na gia hii ili kufanikisha ubinafsi wao!! Kumbukeni huko TRA ni moja ya sehemu ambako watoto wa wakubwa hupelekwa "kujitolea" kwa malengo!! Hayo malengo hayawezi kufanikiwa kupitia PSRS!! Tupige makelele kwenye mitandao yote ya kijamii kusema HAIKUBALIKI!Kuna watu walikuja Inbox na kunihoji kuhusu TRA na upande wa Database ambao walifanya saili zilizopita,,,Ila niliwajibu TRA wana force sana kuajiri wenyewe tena mno,,,Imeniuma mno naona kabisa kama huna connection TRA kuingia itakuwa ngumu mno,,,Pamoja na madhaifu ya PSRS watu wengi waliingia bila hata connection yoyote,,,,,Vijana amkeni vijana amkeni kuna haja gani kuwepi psrs huku kila taasisi ikitaka mamlaka ya kujitegemea
Nadhani wewe ndio uache ujinga!! Right from day one wanaojaribu kufungua hiyo link ya applications za TRA wanaambiwa "Unauthorized access"!! Soma wanavyoambiwa hapa:Acha ujinga nenda kafanye mitihani ufaulu kazi utapata. Nchi hii ni lini rushwa iliwahi kuisha. Mnae mtukuza hizo ajira zenyewe zilikua hazionekani. Sasa hivi ajira zimeanza kutolewa mnaenda mnafeli mitihani huko mnakuja kusingizia rushwa. Nenda kafaulu uone kama utanyimwa kazi.
Mtu kama huyo hupaswi kubishana nae unapima uelewa wake hakuna hoja aliyoitoa hapo kwa hiyo kubishana nae ni kupoteza mudaNadhani wewe ndio uache ujinga!! Right from day one wanaojaribu kufungua hiyo link ya applications za TRA wanaambiwa "Unauthorized access"!! Soma wanavyoambiwa hapa:
Unauthorized Access
You have attempted to access a page that you are not authorized to view.
If you have any questions, please contact the site administrator.
Ni kweli!Mtu kama huyo hupaswi kubishana nae unapima uelewa wake hakuna hoja aliyoitoa hapo kwa hiyo kubishana nae ni kupoteza muda
Wacha mashirika yaite watu tu!Lakini jiulize, je placement kwa taasisi zote zilikuwa zinachelewa? jibu ni hapana!! Kwa mfano sehemu kubwa ya placement za vyuo vikuu hazikuwa zinachelewa! Ila tusihamishe mada!! mada iliyopo mezani ni taasisi kuanza kufanyisha usaili na kuajiri zenyewe bila kupitia PSRS. Hilo tulipigie kelele!!
Sema sijui ni kwa nini serikali imeshindwa kushughulikia kero za psrs na ule ukiritimba katika mfumo wa ajira , hivi sisi kama nchi hatuwezi kufanya kitu cha kueleweka na kukisimamia ?Wacha mashirika yaite watu tu!
PSRS nao waendelee na kujivuta vuta kwao huku na mashirika yakiendelea
Kwamba spika angehtaj kumconnect ndg yake angeshindwa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]TRA wenyewe bila vigogo wenye maslahi binafsi kuwasimamia wasingeweza ku-force wakafanikiwa!! Kumbukeni wabunge na baadhi ya mawaziri hata spika mwenyewe walishaanza kudai vijana wanaojitolea wapewe kipaumbele!! Hilo PSRS haliko kwenye utartatibu wao kwa hiyo wakubwa walikuwa wanakwama!! Sasa wamekuja na gia hii ili kufanikisha ubinafsi wao!! Kumbukeni huko TRA ni moja ya sehemu ambako watoto wa wakubwa hupelekwa "kujitolea" kwa malengo!! Hayo malengo hayawezi kufanikiwa kupitia PSRS!! Tupige makelele kwenye mitandao yote ya kijamii kusema HAIKUBALIKI!
Tafuta siku nenda psrs kisha omba kujifunza kuhusu wao na uombe kuona mifumo yao,,,Nilishuhudia mara kadhaa watoto wa vigogo kibao psrs wakiwatoa nje ya box kwe written tuKwamba spika angehtaj kumconnect ndg yake angeshindwa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sas hv unaona kana kwamba ni wao wameshinikiza irudi kwenye mashirika???
Unakumbuka kauli ya Rais mwenyewe kuhusiana na hawa watu wa utumishi na mirorongo yao???
wewe umeambiwa upige kelele mtandaoni hahaKwamba spika angehtaj kumconnect ndg yake angeshindwa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sas hv unaona kana kwamba ni wao wameshinikiza irudi kwenye mashirika???
Unakumbuka kauli ya Rais mwenyewe kuhusiana na hawa watu wa utumishi na mirorongo yao???
Walikuwa na connection yoyote ?Washikaji zangu weng ambao tulikuwa tunafight nao wamepata kazi TRA kuptia utumish, aiseee sasa hali itakuwa ngumu sana sana bora utumis nmefail oral ila naamin naweza itwa database ndani ya mwaka huuu