HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Na muhimu wawe na sifa tu amna namna..hawa psrs hata siwaelewagi kabisa.
 
Mkuu ebu jaribu bahati yako na huko TRA huenda riziki yako utaipata mapema na kwa urahisi.

PSRS waachie wenye kuweza kuhimili uvumilivu
 

Ninaunga mkono hoja yako, utumishi wamezidiwa wapunguziwe majukumu.
 
Mkuu ebu jaribu bahati yako na huko TRA huenda riziki yako utaipata mapema na kwa urahisi.

PSRS waachie wenye kuweza kuhimili uvumilivu
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Niombe TRA huku sina vigezo vya kufagia ofisi ya kupokelea wageni??
Kikubwa ni mashirika yaisaidie kazi utumishi

Utumishi nao sio kwamba ndo mwisho wa saili zao
Nao watakuwa wanafanya michakato yao inachukua mwaka mzima huku mashirika yakichukua ikienda sana miezi miwili mtu ashajilambia zake asali
 

PSRS imeshindwa kazi ndio manaa taasisi zinaomba kuendesha mchakato wa ajira ili zipate nguvu kazi kwa wakati na sio kungojea michakato isiyokuwa na maana kwa mwajiri na mwajiriwa. [mention]Sekretarieti ya Ajira [/mention] mna fail wapi wakuu
 
Hatari sana waweza kuta wanalamba karibia million 10 wazee dah hatari sana
Siipondei kada ya ualimu! Lakini nchi yetu imepoteza mwelekeo kwenye swala zima la vipaumbele! Unajiuliza inakuwaje mwalimu anayepambana kuondoa ujinga ndo mwajiriwa anayelipwa fedha kiduchu halafu wengine kazi yao ni kukadiria tuu kodi wanalipwa fedha nyingi kiasi hicho. Hapo ndo nilipoona kuna shida kubwa sanaa kwenye nchi yetu. Haya achana na mwalimu njoo kwa Medical Doctor, yaani TRA officer anamzidi MD parefu mno. Doctor ambaye amehenyeka miaka 5+ ili aje kuwa kulitumikia taifa. Aisee...kama umepata upenyo wa kwenda ughaibuni ni a kheri tuu uendee huko.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
PSRS imeshindwa kazi ndio manaa taasisi zinaomba kuendesha mchakato wa ajira ili zipate nguvu kazi kwa wakati na sio kungojea michakato isiyokuwa na maana kwa mwajiri na mwajiriwa. [mention]Sekretarieti ya Ajira [/mention] mna fail wapi wakuu
TRA wamepewa rungu yani hapo wameshafeli tunarudi kulekule hii inchi inashida sana hapo kupeana kazi ndio mwisho wa watoto wa wakulima kuajiliwa TRA
 
Shida zipo kote kote mageuzi yanahitajika, mpango wa kuanzisha PSRS haukuwa mbaya ila mapungufu yao ndio shida sasa kila taasisi itaajiri yenyewe.
 
TRA wamepewa rungu yani hapo wameshafeli tunarudi kulekule hii inchi inashida sana hapo kupeana kazi ndio mwisho wa watoto wa wakulima kuajiliwa TRA

Siamini kama watumishi wote wanaofanya kazi huko mamlaka ya mapato TRA waliopata ajira kabla ya kuundwa PSRS wametoka familia za vigogo ama familia zenye icho mnachoita connection.

Kama mwajiri mkuu ambae ni Mh. Rais alisema PSRS wanakwamisha kupeleka nguvu kazi kwa wakati kwa sababu ya huo udambwi udambwi walioubatiza jina mchakato kuwa mrefu, sisi ni nani tukatae tasisi kuajiri wenyewe ili mambo yafanyike kwa wakati.

Binafsi ninaona PSRS ni mamlaka iliyo fail big time na ikiwezekana ifutwe wapangiwe majukumu mengine. Wale wenye connection wacha wapate kazi maana hiyo connection kwanza ni kitu huwezi kukuzuia na kiko kila sehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…