Changamoto ni kupitisha barua kwa mwajiri na mda wa probabation haujaishaMkuu apply tu kwan si wametangaza nafasi ww pambana mpaka utakapopata unachohitaji kuhoji hivi wala sijui kama kutasaidia,hii nchi system nyingi mbovu .
Hii ni ya mwenye Diploma au Degree?1,800,000
Tuombe Mungu tuu! Ndo ufahamu kila mahali kuna ubumbuliii..Katika maisha yangu nimebahatika kufanya interview moja tu ya utumishi.
Interview niliyofanya ni ile ya TRA iliyopita na ndo ilonipa kazi kutokea database.
Inakuaje leo wanatangaza nafasi zilezile na tulikuwepo wakatutema tukapelekwa kwingine?
Asee haya mambo haya
Diploma degree ni TRAS 4 ambayo ni 2,300,000Hii ni ya mwenye Diploma au Degree?
Sawa nimekuelewaChangamoto ni kupitisha barua kwa mwajiri na mda wa probabation haujaisha
Awapigie simu awaelezee shida yake watarekebishaHuwa ajiraportal wanamdisqualify mdogo wangu kwa PASSPORT SIZE NOT UPLOADED anatakiwa afanyeje?
Naomba ushauri tafadhali.
NB
Ameweka picha kwenye AKAUNTI yake
MSAADA mbona kwenye portal yao sijaona sehemu ya kuapload vyetiDiploma degree ni TRAS 4 ambayo ni 2,300,000
Kwani hiyo picha inatakiwa iwekwe wapi?Awapigie simu awaelezee shida yake watarekebisha
Kwenye profile yake ya ajira portalKwani hiyo picha inatakiwa iwekwe wapi?
Ndio maana nikakuambia kama ameapload picha ipo na hawamuitii na wanamuambia hajaapload awapigie tuu simu awaulize shida Iko wapiKwani hiyo picha inatakiwa iwekwe wapi?
Aksante sana...Kwenye profile yake ya ajira portal
Passport sizeAksante sana...
Ni picha ya kuscan au anawezajipiga moja kwa moja tu?
Ambapo ndio ikoje hio? Naomba utujuze MkuuTARURA hawatumii Tgs wanatumia TRUSS
Sehemu ya kuweka vyeti, barua na mazaga mengine utaikuta mwisho kama umeshamaliza kujaza zile sehemu za mandatory yaani zenye mark ya * nyekundu then nenda sehemu ya search job kwenye menu ya portal then chagua post unayotaka kuapply then itafunguka ndio utaona hizo sehemu za attachments nadhani utakuwa umeelewaKwenye portal ya TRA mbona sioni sehem ya kuattach vyeti wandugu,msaada hapa jaman
Sehemu ya kuweka vyeti, barua na mazaga mengine utaikuta mwisho kama umeshamaliza kujaza zile sehemu za mandatory yaani zenye mark ya * nyekundu then nenda sehemu ya search job kwenye menu ya portal then chagua post unayotaka kuapply then itafunguka ndio utaona hizo sehemu za attachments nadhani utakuwa umeelewaMSAADA mbona kwenye portal yao sijaona sehemu ya kuapload vyeti
Ina kuna kuna watu tayari wako authorized kufanya application!! ukitaka na wewe kuwa authorized inabidi umpigie "administrator"!! Lugha ya rushwa nje nje!![emoji445]Tumeipenda wenyewe tuntuu..
Chaguo letu wenyew tuntuu....
Acha tuisome namba eeeeee [emoji445][emoji445]View attachment 2636349