Piga ramli mkuu ya psrsMUNGU saidia nilambe asali UTUMISHI kabla hakijanuka.
huko kwenye taasisi kuajili zenyewe cc ambao koo zetu wote tupo majohe sijui chanika wala hatuna mjomba ambaye yupo tanapa ama TRA mambo yatakua magumu zaidi. Tanzania itazidi kuwa si sehemu sahihi kwa vijana kuishi
sawa mkuuPiga ramli mkuu ya psrs
Dah Mungu atatenda mkuu, kwa jitihada tulizoweka kuhudhuria saili za psrs, uvumilivu wa kusubiria placement, na hakika tutapata. Maana kwetu sisi psrs ndo kimbilio letu.MUNGU saidia nilambe asali UTUMISHI kabla hakijanuka zaidi
huko kwenye taasisi kuajili zenyewe cc ambao koo zetu wote tupo majohe sijui chanika wala hatuna mjomba ambaye yupo tanapa ama TRA mambo yatakua magumu zaidi. Tanzania itazidi kuwa si sehemu sahihi kwa vijana kuishi
Tawire! Tawire mkuu, adacadabra!Ngoja nipige ramli kidogo japo mtaa umenichakaza kinoma
leo jtatu 75%
jnne 90%
jtano hii %100
naona pdf hzi zitakua zimebeba taasisi tamu kuliko halmashauri ,kibuyu kinaishia hapa
AmenDah Mungu atatenda mkuu, kwa jitihada tulizoweka kuhudhuria saili za psrs, uvumilivu wa kusubiria placement, na hakika tutapata. Maana kwetu sisi psrs ndo kimbilio letu.
Hahahaaa KEKA LA MITAASISI MITAMU MITAMU au sio ?Ngoja nipige ramli kidogo japo mtaa umenichakaza kinoma
leo jtatu 75%
jnne 90%
jtano hii %100
naona pdf hzi zitakua zimebeba taasisi tamu kuliko halmashauri ,kibuyu kinaishia hapa
yaah mkuu decent opportunityHahahaaa KEKA LA MITAASISI MITAMU MITAMU au sio ?
TawireNgoja nipige ramli kidogo japo mtaa umenichakaza kinoma
leo jtatu 75%
jnne 90%
jtano hii %100
naona pdf hzi zitakua zimebeba taasisi tamu kuliko halmashauri ,kibuyu kinaishia hapa
Haha sio kila asali ni asali asali nyingine hapanaWewe culisha lamba asali [emoji1787]
Kabisa , na binadamu tunajisahau sana kuna watu wengi humu wamepata kazi humu kupitia database ,hizo zote ni advatages za mfumo wa psrs ,taasisi wakianza wao hiyo hamna , wamepata kupitia Data base sasa hivi wanasherekea taasisi kufanya mchakato wa ajira wakati bila psrs na huo mfumo wa Data base wasingepata hizo kazi ,MUNGU saidia nilambe asali UTUMISHI kabla hakijanuka zaidi
huko kwenye taasisi kuajili zenyewe cc ambao koo zetu wote tupo majohe sijui chanika wala hatuna mjomba ambaye yupo tanapa ama TRA mambo yatakua magumu zaidi. Tanzania itazidi kuwa si sehemu sahihi kwa vijana kuishi
Database mwisho ni miezi 6 tu.Hiyo njozi haitasema uongo ijapokawia ingoje kwani ni yawakati uliyoamriwa , nasubiri unabii wa TRA kutoa database utimie,tuendeleze maombi
ni mwaka mmoja mkuuDatabase mwisho ni miezi 6 tu.
Database mwisho ni miezi 6 tu.ni mwaka mmoja mkuu
Database ni mwaka mmoja pitia kweny kanuni zao.Database mwisho ni miezi 6 tu.
Afu haina maana yoyote, yaani kwamba waliopo kwenye Database wanauwezo kuliko wengine? Mwaka mmoja ni muda mrefu kwa akili ya binadamu kuweza kuchakata vitu kwa usahihi.
Huu utaratibu hauna maana, ukikosa umekosa, hii hoja ya DATABASE nani anaikagua kujua kuwa waliopo ni sahihi?
Usaili una kufaulu na kufeli, KUFAULU ni KUPATA KAZI, na KUFELI ni KUKOSA KAZI.
Hii ya kuweka Database ya nini? Nchi ina wahitimu zaidi ya 100,000 uweke watu Database kisa nini?
Huo utaratibu ufutwe haraka sana. Ukifanya usaili iwe imeisha, watu waanze upya na maandalizi mapya.
Huu utaratibu unawanyima watu fursa ya kujiuliza wapi walikosea kwa maana hawapati nafasi ya kuomba nafasi au nafasi kupunguzwa.
Database mwisho ni miezi 6 tu.