HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
We una akili kichwani? Yaan unaangalia cost badala ya wasailiwa?

Usaili ukiisha, iwe mwisho, tusiweke room ya kuwaweka ndugu zetu.

Una sababu gani za msingi za kuwaweka watu Database?

Hujui wapo watu walikosa kuja kufanya Usaili kutokana na uhaba wa nauli? Je kwann zitokeapo fursa zingine wachukuliwa wale wa mwanzo tu? Kwann kusiwe na usaili mwingine ili wale ambao sasa wamejikusanya nauli nao wapate fursa?

Lengo ni ajira, hivyo lazima kila mmoja wetu apate fursa ya kufanya usaili kwa nafasi husika.
Maswali ya usaili yanatofautiana na ndio maana watu wanafeli, kama ndio hivyo hakuna haja ya usaili, tuamue kuajiri kama walimu na kada za afya.
 
Hajui asemalo huyo.
 
Umeangalia angle ya mwajiri tu. Angle ya msakatonge umeiacha, na hiyo ndio muhimu. Acha watu wakafanye usaili, kama usaili mmoja umeisha kusiwe na nafasu ya kusema kuna watu wamebakia. Tusema usaili umefungwa na waliofaulu ni wale waliopata kazi basi.
 
Hayo ni maoni yako mkuu...lakn utaratibu wa database upoo na watu wanapata kati kupitia database...tuishi mkuu kila mmoja ana riziki yake
 
Habari za mida wakuu wa kazi, naomba msaada sample ile barua ya kusafirisha mizigo pamoja na gharama za nauli kwa mwajiriwa mpya ama mstaafu.
Hongera mkuu,
sisi wengine mwaka huu tutakonda mbwa sisia
 
I doesn't make any sense that psrs can recruit All candidates to the public institutions or organization themselves.
Hili jambo hakiwezekani Kwa sababu psrs hawana rasilimali za kutosha kufanya hili jambo Kwa ufanisi.
 
I doesn't make any sense that psrs can recruit All candidates to the public institutions or organization themselves.
Hili jambo hakiwezekani Kwa sababu psrs hawana rasilimali za kutosha kufanya hili jambo Kwa ufanisi.
Kuna mambo meng ymejificha nyuma ya pazia kuhusu taasisi kama TRA kupewa ruhusa ya kuendesha michakto wao wenyewe
 
Ni mwaka mmoja maana kuna mtu namfaham ameitwa pdf la katikat ya wiki iliyopita ni data base na alifanya mtihan mwez wa 9 mwaka jana na katika muongozo wao ni mwaka 1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Database ya muhagama Iko wapi mpakaleo,
Ni mwaka mmoja maana kuna mtu namfaham ameitwa pdf la katikat ya wiki iliyopita ni data base na alifanya mtihan mwez wa 9 mwaka jana na katika muongozo wao ni mwaka 1

Sent using Jamii Forums mobile app
Database ni miezi 6 TU
 
Kiongozi blender kweli una utabiri mzuri. Ulitabiri taasisi zitaanza kuajiri zenyewe, TRA wameanza aisee
Ilikuwa ni akili ya kidikteta na ya kijamaa, kulazimisha Taasisi Moja kufanya usaili nchi nzima, ulikuwa ni uwenevu uliopitiliza.

Mpongezini Raisi Samia ana huruma sana na mpenda haki, jiandaeni na asali za tanesco, tanroad, etc zakumwaga na Kila kitu Kina isha kwenye idara husika ya baada ya interview TU siku 30 hazifiki unalamba asali kimasihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…