HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sasa vijana wanao fanya internship Katika taasisi na mashirika mbalimbali hutaki wapate priority, unataka waje wapewe wengine waje wafundishwe KAzi.

Mkuu hufai kuwa kiongozi, na wala hujui kuishi na watu hapa mjini
 
wanaoapply wanayajua yote hayo si uwaache waapply, wewe utalose nini? kila mtu atakula kwa urefu wa kamba na bahati yake, haina haja ya kukatisha watu tamaa na kuwaambia cv zao ni uchwara huo ni unaa na upuuzi.
let people be. After-all wote wanaoapply ni watu wazima na akili zao.
 
Lakini lengo haikua kulazimisha PSRS kufanyia saili Taasisi na mashirika yote nchini
 
Ila utumishi nao wahuni tuu Bora taasis ziajiri wenyewe hata Kama hatuna connection tuna Mungu na akiwa upende wetu Nina atakayekuwa juu yetu

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Wanauhuni mwingi sana. Wanajificha kwenye kichaka cha kutetea watoto wa masikini ila kiukweli wanatetea watoto wachache na kuwakandamiza watoto wa masikini kibao.
 
We unadhani UTUMISHI imeanza enzi za MAGU au sio?
 
Excellent nakupa 100% kijana, Niliwahi kusema Humu PSRS wanafanyisha interview za hovyo ambazo haziwezi kukupatia watu sahihi but watu wanaokalili, Period.

Ukitoa mambo ya Undugu na upendeleo ambayo hatuna uhakika kama PSRS hawafanyi, Taasisi binafsi zitaweza kujipatia Candidates kupitia Interview Halisi zenye standard za kidunia sio tena mention what what.
 
Ngoja TRA waje watoe mkeka wao wa plaqcement uliosheheni "interns", ndipo wale wenzangu na mimi wale "wakuja" watakapojua kuwa wamepigwa chenga ya mwili!!.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]....yote hayo yanatokea wanagombea nafasi 6000+ zakujaza nafasi za wazi...zikiisha hizi nafasi Utaona Mambo yanarudi vilevile PSRS na wanatupiana lawana wao kwa wao yaliyotokea ili tuone kuna shida kumbe lengo lao ni moja wamefanya hivyo...
Mungu tusaidie Wanao wasaka asali tunapopita wajua wewe tu....
 
Intern's Wana haki 💯 ya kupewa kazi

Kazi anapewa anaye fanya kazi SS, Kama ww hufanyi kazi nani akupe kazi
Hawana haki hiyo kwa sababu hiyo nafasi ya "intern" wameipata kwa upendeleo maana haikuwahi kutangazwa ili igombaniwe kwa haki!! Hao "interns" wamekwepeshwa mpambano wa wazi na wa haki huko psrs!! Sidhani kama wana uwezo huo, vinginevyo wasingeogopa kupambana kupitia psrs!!
 
Kama ungekuwa umelamba asali ungeyasema hayo unayoyasema sasa? Yaani mtu sahihi ni wewe tu ambaye bado hujapata placement, lakini waliopata placement siyo watu sahihi!! Iangalie vizuri hali ya moyo wako!! Kwa altitude hiyo nina wasiwasi kama kweli wewe ni mtu sahihi!! Kuna watu wanaoona ni afadhali tukose wote kuliko mwingine apate na mimi nikabaki nasubiria nafasi yangu mbele ya safari!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…