HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Watu wanafanya usaili kama wanafanya UE? Unazungumziaje makampuni (top companies) duniani zinazoenda vyuoni kurecruit watabe wa UE?

With all due respect ukihitaji watu wawili kwenye 500 hata kama umewapa hayo maswali unayoyaita ya UE mtu akiibuka kidedea out of 500 candidates then ana kitu kichwani tena kikubwa tuu
 
Panel ikiwa inatunga maswali hao TRA wanakuwa hawapo?
Hujui vitu vingi.Mkapa says: No research, no right to speak.
 
Uko ofisi gani? Sisi tunauzoefu kazini, na nikuambia sababu ya TRA kuomba wasaili wenyewe ni utitiri wa VILAZA kutoka UTUMISHI.
Dah unasema vilaza toka Utumishi au toka Mitaani.
Mimi nishafanya interview nyingi tu za Ofisi hasa za Wazungu uko tofauti kabisa na usaili wa utumishi,hata vyeti huulizwi ni wewe kuonesha uwezo wako.
Mwisho mashirika kurudishiwa fursa ya kuajiri fursa kwa wenye koneksheni hakika nakuambia.
Msije mkalalamika ooh Tra imejaa watu wa Kaskazini
 
Niko nmekaa pale akikujibu nishitue
 
Ahaa.Hivi mfano TRA mwaka jana si walitangaza kukusanya kodi nyingi nchini hadi kuvuka lengo.Ni kwa sababu ya wale vilaza wengi waliopelekwa huko na utumishi bila shaka?
 
Hv wadau huu mfumo wa kuomba ajira TRA ,baada ya mfumo kufungwa mchakato wa kupata ile wanaita shortlisted candidates unafanywa na mtu kwa kupitia maombi ya mtu mmoja mmoja au system inagenerate hyo list kulingana na ilivyoamriwa?
 
Ahaa.Hivi mfano TRA mwaka jana si walitangaza kukusanya kodi nyingi nchini hadi kuvuka lengo.Ni kwa sababu ya wale vilaza wengi waliopelekwa huko na utumishi bila shaka?
Malengo anaweka nani? Kuna tatizo kubwa kwa taasisi zetu wanajiwekea malengo madogo ili waseme wamevuka lengo.
Kwenye Kodi, kama kukusanya nakuambia tunaweza kukusanya zaidi ya T 40 kwa mwaka.
 
Nikuambie tu ukweli, hutoona watu wengi kutoka ukanda mmoja, Kabila, Dini wala mkoa mmoja.

Subiri uangalie usaili utakavyokuwa.
Udhibiti umefanywa kwa kiwango kikubwa.
 
Ingekuwa utumishi wanatoa placement mapema basi
Nikuambie tu ukweli, hutoona watu wengi kutoka ukanda mmoja, Kabila, Dini wala mkoa mmoja.

Subiri uangalie usaili utakavyokuwa.
Udhibiti umefanywa kwa kiwango kikubwa.
utamshikaje kuku kirahisi bila kumrushia mtama au mchele huku unaingia ndani.
 
Dah huu uzi nilikua sijausoma vizuri

  • Matapeli wamejaa humu tena wakutosha 😂😂
  • Ma jobless wapo pia
  • Waliopata ajira ila wanawachora na kuwa mislead wenzao wapo.
  • Mashushushu wa mataasisi wapo kupima upepo wa vijana, subira, uaminifu, kutoa info za interview,

Naendelea na uchunguzi wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…