We huelewi kitu, afu unatetea vitu vya kipumbavu, yaani mtu aliyehitimu digrii tena miaka hii asijuie kutumia PC? Kama Ms Word, Excel, PP zinakushida utaelewa mifumo ya kodi kirahisi? Utajua E-filling tena sasa ITAX haitumiki kama system ya zamani iko Online sijui ingekuwaje.naona tunaenda pamoja my point hata darasan huwez elewa yote kwa siku moja kila kitu kinahitaji muda pia
ndio nkatolea mfano mtu upo mazingira ya kazi boss wako amekupatia kazi labda mfano tengeneza average ya data fulani kwa excel
kitendo cha kuingia you tube na ukaisolve case ukakabidhi kazi tayar unakua umejifunza hivyo hivyo utaendelea kugain taratibu kulingana na majukumu ya microsoft ofice unayopatiwa
kwaio sio jambo kabisa la kumbeza mtu mwenye degree au kumtishia kuhusu microsoft office.
hawa watoto waliosoma medium school na wanafundishwa hivyo vitu primary school kwaio ndio mana wanakua wapo vizur zaid kuliko mtoto wa kidumu na mfagio ambaye ameishika Computer Chuoni
my point mtu wa degree kama anajua kazi hizo microsoft office kwake ni minor sana.
Hiz post za tra zimebadiri hali ya hewa humu,
Hadi tumefikia hatua ya kuitana vilaza humu ndani
Mfumo wao siyo rafiki. Ukisha-click "apply", hiyo application yako huna tena "access" nayo!! Ila kabla huja-click "apply". unaweza kufuta kwa ku-click hiyo X inayoonekana hapo, kisha kuweka vyeti vyake sahihi. Nakushauri uwapigie kwa namba za msaada walizoweka hapo bila shaka watakusaidia.Wakuu msaada kuna mtu nilikuwa namfanyia applocation tra. Kila kitu chake nimejaza vizuri vipengele vyote ila Bahati mbaya sana kwenye upande wa position nimeweka position isiyo sahihi na attachment ya vyeti vyote nimeattach sio vya kwake.
dah shuguli ipo hapa aiseeMfumo wao siyo rafiki. Ukisha-click "apply", hiyo application yako huna tena "access" nayo!! Ila kabla huja-click "apply". unaweza kufuta kwa ku-click hiyo X inayoonekana hapo, kisha kuweka vyeti vyake sahihi. Nakushauri uwapigie kwa namba za msaada walizoweka hapo bila shaka watakusaidia.
Mfumo rafiki ni ule ambao unakuruhusu kufanya marekebisho, ili maadam dead line ya application bado kufika.
Cha kukushaurii mkuu,,fungua account nyingine kwenye Email nyingine uapply upyaWakuu msaada kuna mtu nilikuwa namfanyia applocation tra. Kila kitu chake nimejaza vizuri vipengele vyote ila Bahati mbaya sana kwenye upande wa position nimeweka position isiyo sahihi na attachment ya vyeti vyote nimeattach sio vya kwake.
Kwanzaa siaminii kama miaka ya Sasa hivii mtu anawezaa kumalizaa hata diploma tu eti hajuii computer tena Microsoft word,excel na power point labda kama amesomea vyuo vya uchochoronii maake inamaana kwamba Chuoni kwao hakuna assignment za kutumia kompyuta,mpaka anamalzaa mwaka wa mwisho ina maana hajafanya hata presentation,hajafanya project yeyotee??inafikirishaa saanaWe huelewi kitu, afu unatetea vitu vya kipumbavu, yaani mtu aliyehitimu digrii tena miaka hii asijuie kutumia PC? Kama Ms Word, Excel, PP zinakushida utaelewa mifumo ya kodi kirahisi? Utajua E-filling tena sasa ITAX haitumiki kama system ya zamani iko Online sijui ingekuwaje.
Watoto wa siku hizi wanawaza ujinga tu, mtu yuko wilayani huko atafanyaje kazi na unaona kabisa ofisi za huko watumishi ni wachache? Watoto waambiwe mnapomaliza chuo, kazini kitendea kazi ni Computer na anatakiwa kuimaster hasa kada zile zinahitaji Hesabu, Ripoti za mara kwa mara.
naona tunaenda pamoja my point hata darasan huwez elewa yote kwa siku moja kila kitu kinahitaji muda pia
ndio nkatolea mfano mtu upo mazingira ya kazi boss wako amekupatia kazi labda mfano tengeneza average ya data fulani kwa excel
kitendo cha kuingia you tube na ukaisolve case ukakabidhi kazi tayar unakua umejifunza hivyo hivyo utaendelea kugain taratibu kulingana na majukumu ya microsoft ofice unayopatiwa
kwaio sio jambo kabisa la kumbeza mtu mwenye degree au kumtishia kuhusu microsoft office.
hawa watoto waliosoma medium school na wanafundishwa hivyo vitu primary school kwaio ndio mana wanakua wapo vizur zaid kuliko mtoto wa kidumu na mfagio ambaye ameishika Computer Chuoni
my point mtu wa degree kama anajua kazi hizo microsoft office kwake ni minor sana.
Ukweli ni kwamba kwa miaka ya sasa siyo anakuwa hajui kabisa ila hana uzoefu mkubwa!! Tusifumbie ukweli huu kuwa siyo kila mtu chuoni anamiliki laptop yake. Ni kweli matumizi yake amejifunza na kufaulu mtihani wake lakini kwa kutokumilikii laptop yeye binafsi bado uzoefu utakuwa ni mdogo, na kwa kutokuitumia mara kwa mara vitu vingine bado anaweza kusahau. Sasa ukimwita mtu kama huyo kuwa ni kilaza, eti kwa sababu tu amesahau namna ya kutumia excel kwa mfano kwenye kuchora graphs, au kuitumia excel kwenye data analysis utakuwa unakosea sana!!Kwanzaa siaminii kama miaka ya Sasa hivii mtu anawezaa kumalizaa hata diploma tu eti hajuii computer tena Microsoft word,excel na power point labda kama amesomea vyuo vya uchochoronii maake inamaana kwamba Chuoni kwao hakuna assignment za kutumia kompyuta,mpaka anamalzaa mwaka wa mwisho ina maana hajafanya hata presentation,hajafanya project yeyotee??inafikirishaa saana
Ushauri mzuri sana!!!Cha kukushaurii mkuu,,fungua account nyingine kwenye Email nyingine uapply upya
Nashukuru, niliwaza ivyo pia.Cha kukushaurii mkuu,,fungua account nyingine kwenye Email nyingine uapply upya
Nashukuru, niliwaza ivyo pia.
Ila haiwezi kuonekana nimeomba nafasi mbili au multiple applications kwa account tofauti nikawa disqualified ?
Mfumo wa kipuuziSikushauri utumie hii njia utakwama fanya uwezavyo wakutatulie wenyewe hilo tatizo.
Ushauri Bora kabisa huu. Wapigie wakusaidie wao. Otherwise you will cry a river 😆😆😆Sikushauri utumie hii njia utakwama fanya uwezavyo wakutatulie wenyewe hilo tatizo.
Kukosa computer sio excuse, Vijana tupo kwenye Dunia ya kujiongeza wazee kama hujiongezi na kujielimisha VALUE yako itakuwa chini always ndio maana hata huko kwenye ma LINKEDIN wanatafutwa watu wenye profile competent hata kama ni fresh graduates.Ukweli ni kwamba kwa miaka ya sasa siyo anakuwa hajui kabisa ila hana uzoefu mkubwa!! Tusifumbie ukweli huu kuwa siyo kila mtu chuoni anamiliki laptop yake. Ni kweli matumizi yake amejifunza na kufaulu mtihani wake lakini kwa kutokumilikii laptop yeye binafsi bado uzoefu utakuwa ni mdogo, na kwa kutokuitumia mara kwa mara vitu vingine bado anaweza kusahau. Sasa ukimwita mtu kama huyo kuwa ni kilaza, eti kwa sababu tu amesahau namna ya kutumia excel kwa mfano kwenye kuchora graphs, au kuitumia excel kwenye data analysis utakuwa unakosea sana!!
[emoji23][emoji23] Graduates wetu bwana hayaHuyo hajui kitu taasisi zote za umma aina ya usaili wanaoendesha kwa entry level huwa unafanana kwa written na oral asilimia kubwa uwa ina base kwenye maswali ya darasani, nime wahi kufanya saili za written na oral za TRA kipindi kile zinaendeshwa na chuo cha Mzumbe mfumo ulikuwa ni uleule wanaoutumia psrs, wala usidanganye uma hapa kuwa kuna saili standard, tena naweza sema kuwa saili za psrs ndio standard kwa sababu huwezi jua maswali yatakujaje lakini hizo unazosema wewe kuwa ni standard ni zile ambazo zinakaliliwa na kila mtu kuwa, kwa mfano
1. How do you handle pressure at work
2. How much are you expecting to be paid as a salary
3. What are your weakness and strength?
Sasa haya maswali ndio mtu anasema kuwa ni standard,????
Habari wakuu.. naomba kujua vitu ninavyotakiwa kulipwa kwa mtu anaepangiwa kituo cha kazi, mfano mkoani Shinyanga kutokea Dar. first appointment, single, no child.. position engineer (4 yr degree)
taasis niliyopo wamesema watatupa nauli na fedha za kujikimu ila hawajasema kiasi.. nataka kujua kiasi ninachotakiwa kulipwa kwa position au sifa nilizotaja hapo juu
Tupeane elimu kidogo: What is an examination? It is a tool which comprises of questions which are used as measuring instruments to measure the examinee's level of knowledge, skills, aptitude etc. Ukiona mtu anasema exams do not measure knowledge huyo ni wa kumsamehe bure tu!!Exams and GPAs measure academic achievements not knowledge
Mkuu habari za masikuu...habari za ocean roadHahahahha yani mpka leo bado mpo na hii mada ya interview inatakiwa iwaje.