Salama mkuuu vp uzi unaendeleaje,Mkuu habari za masikuu...habari za ocean road
Uzi umejaa majigambo ya kuitana vilaza tu hahahaSalama mkuuu vp uzi unaendeleaje,
Taasisi hazijaajiri miaka 5 wantangz kazi wanalimit age tenaa duh...haya vijanaa wachakarikiee fursaaKuna kazi za asali nzito Tanapa huko ,chekini muombe
Tatizo umriKuna kazi za asali nzito Tanapa huko ,chekini muombe
Content ya uzii imebadilika sana.Uzi umejaa majigambo ya kuitana vilaza tu hahaha
Umeongea point mkuuINTERVIEW ZA PSRS
wawo wameamua 85% ya maswali yao yawe objective ili ku grade raia maswali ya objective huwa yana majibu specific na hiii inatengeneza haki kuwapa watu ajira tofauti na maswali ya subjective ambayo PSRS mara nyingi hawayatumii sababu ni kuwa swali la subjective linaweza kuwa na majibu sahihi zaid ya moja mfano ukiulizwa
Why should w hire u. Kila raia atajibu kivyake na kila mtu anaweza kuwa sahihi uta wa grade vipi zaid ya kuwaonea. Kwaio hii ndo mana PSRS hawatumii maswali ya subjective kuondoa upendeleo kwa upande wangu mm interview za psrs zipo standard, waoga na vilazaaa lazima wazikimbie.
Ndo hivyo mkuu hawataki wakongweNaona wameamua kulimit umri
Mkuu kwenye io post ya ranger law enforcementNdo hivyo mkuu hawataki wakongwe
Huu uzi content zake zinabadilika sana ikitoka hii inakuja nyingine tena hahahaha content ijayo sijui itakua ipi tena sijui mambo ya status tena🤣Content ya uzii imebadilika sana.
Taasisi nyingi ni miaka saba sasa hawajaajiri ,ila wana guts za kuweka vizingiti vya kipuuzTaasisi hazijaajiri miaka 5 wantangz kazi wanalimit age tenaa duh...haya vijanaa wachakarikiee fursaa
Mbona inakataa kusign up aise nikajua problem ni password nika comply by including special character and a minimum of 7 character ila bado pop up inasema password
Aptitude test ndio kama zipo hizo mkuu mi siezielewNaona watu wanalia lia humu kuhusu standard ya maswali utumishi ,kama vipi ,wekeni suggestions muwe mnapigwa aptitude test sasa ,
Maana hata private huko nyingi washaachana na maswali ya ******* hayo ya why we should hire you ? ,Why should you hire me ? ,Wtf question is that ? ,
Utumishi wawanyuke aptitude test ,tuone kati ya ninyi na hao mnaowaita vilaza nani atatoboa ,na aptitude test ndio zinaaminika kupima Iq za watu duniani kote .
Acheni utoto