HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hongera sana chief vp umelamba TCB?? ama tulinde privacy kwanza
 
Nipo Dar ila nafurahi kuona umechomoka kijana tukutane dom nikusindikize kuchukua barua
[emoji4][emoji4], pamoja sana mkuu, ulikuwa una nitia moyo sanaa kila ulipokuwa unatuambia kuna mkeka unakuja umebeba taasisi tamutamu na kweli unakuta inakuwa hivyo. Huwezi amini ukimya wako wiki jana ulinifanya ninyong'onyee saanaaa! Mungu akubariki kwa kututia moyo kwa namna hiyo.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Kweli mkuu, makofia360 uko ulipo ubarikiwe sana umekuwa ukitupa matumaini sana wasakatonge na wala huchoki, binafsi nikiona post zako huwa nafarijika sana
 
Wewe jamaa umesoma UDSM miàka Gani?
ICT ipo na hao wa Education tulikuwa tunasoma nao pamoja. Miàka ya 2008-2011
Huyo usikute kaongea kwa kusimuliwa tu,may be kuna jamaa aliwahi muomba avmfundishe kitu kinachohusu computer akamdanganya sisi watu wa Education hatusomagi computer hi vyo sijui ata word[emoji23][emoji23]
Kwa kifupi Programme za elimi zina ICT

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo kujifanya mjuaji sana.. Sasa kama unacandidate 8k - 10k utasahihisha Kwa hizo veiw za mmoja mmoja?

Yani wewe uwakusanye watu 10k uwaulize "how do you handle pressure at work"?
 
Tatizo kujifanya mjuaji sana.. Sasa kama unacandidate 8k - 10k utasahihisha Kwa hizo veiw za mmoja mmoja?

Yani wewe uwakusanye watu 10k uwaulize "how do you handle pressure at work"?
jamaa anaongea kwa experience wewe unabwabwaja tu, Hata kati ya watu 100, 000 kwa swali hilo utampata wa kwanza na wa mwisho.

Nimeshuhudia Interview moja mtu wa Human resource mkenya aliwapiga bao watu wa Accounts 400 kwenye position ya 'Loan Officer', Kwanini? Skills, Skills & Skills jishughulishe kulearn skills mbali mbali muhimu usisubiri interview ndio ufungue daftari, hakuna mtu anataka kilaza kwenye ofisi yake note that.[/QUOTE]
 
[/QUOTE]AGREE TO DISAGREE mkuu hawa bado sana
 
[/QUOTE]
Mbona loan officer ni position ya kila kada na sio watu wa Accounting au finance. Hata ukienda kwenye interview kwenye big4 audit firms kwa position ya entry level lazima ukutane na maswali ya darasani
 
hahahhah mwanangu unayumba izoo interview zinatumika lakin mara nyingi oral za private sector wakishajilizisha unafaa content unayo kichwani ndo wanatumia subjective qn sasa how you handle pressure

ili swali lime base na opinions kila mtu atajibu kulingana na opinion yake na wote wanaweza kuwa sahihi.

Ni sawa uulize watu unapenda kitafunwa gani mwingine ata sema chapati mwinge andazi mwingine bagia halafu wew utoke huko ulipotoka useme anaependa chapati kajibu sahihi ndo mana utumishi hawatumii hayo maswali tusijifanye vichwa ngumuuu pleaseeeeeeeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…