Marcellojr
JF-Expert Member
- Jun 29, 2021
- 305
- 786
Hongera mkuuNamshukuru Sana Mungu na Mimi Leo Kwenye Huu Mkeka Jina Langu Limetokea. Sina Maneno Mengi Sana YA Kuandika Hapa Ila Ningependa Kuwatia Moyo Vijana Wenzangu Wa Kitanzania Tusikate Tamaa Ipo Siku Yako Utatoboa Tuu.
Nawaombea Wote Ambao Bado Hamjapata Ajira Mungu Awasidie Mkapate Katika Majira Yaliyoamriwa na Mungu. Pia Nawa pongeza na Wale Waliolamba Asali Kupitia Mkeka Huu Wa Leo.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Mfumo wa kkipuu
Hongera Sana ndugu. Shukuru na wateendee mema kadri ya uwezo wako wengine utakapokuwa. Amen[emoji4][emoji4], pamoja sana mkuu, ulikuwa una nitia moyo sanaa kila ulipokuwa unatuambia kuna mkeka unakuja umebeba taasisi tamutamu na kweli unakuta inakuwa hivyo. Huwezi amini ukimya wako wiki jana ulinifanya ninyong'onyee saanaaa! Mungu akubariki kwa kututia moyo kwa namna hiyo.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Mkuu, nimesoma BA.Education hapo, na nasoma M.A hapohapo.Huyo usikute kaongea kwa kusimuliwa tu,may be kuna jamaa aliwahi muomba avmfundishe kitu kinachohusu computer akamdanganya sisi watu wa Education hatusomagi computer hi vyo sijui ata word[emoji23][emoji23]
Kwa kifupi Programme za elimi zina ICT
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Amen, pamoja sana mkuu.Hongera Sana ndugu. Shukuru na wateendee mema kadri ya uwezo wako wengine utakapokuwa. Amen
Mkuu hongera sana. Kila la kheri katika majukumu yako.Namshukuru Sana Mungu na Mimi Leo Kwenye Huu Mkeka Jina Langu Limetokea. Sina Maneno Mengi Sana YA Kuandika Hapa Ila Ningependa Kuwatia Moyo Vijana Wenzangu Wa Kitanzania Tusikate Tamaa Ipo Siku Yako Utatoboa Tuu.
Nawaombea Wote Ambao Bado Hamjapata Ajira Mungu Awasidie Mkapate Katika Majira Yaliyoamriwa na Mungu. Pia Nawa pongeza na Wale Waliolamba Asali Kupitia Mkeka Huu Wa Leo.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
usahili wa hvii watu wangekua wanataoa majibu ambayo ingekua marking scheme kwa wengine huko mbeleni nikiwemo mimi. coz maswali kama haya majibu yanakalilika tofauti itakuja ni kulingana na kada husika ya msailiwa so nurse ,agronomy ,accountant angeeleza the same scenarioTatizo kujifanya mjuaji sana.. Sasa kama unacandidate 8k - 10k utasahihisha Kwa hizo veiw za mmoja mmoja?
Yani wewe uwakusanye watu 10k uwaulize "how do you handle pressure at work"?
jamaa anaongea kwa experience wewe unabwabwaja tu, Hata kati ya watu 100, 000 kwa swali hilo utampata wa kwanza na wa mwisho.
Nimeshuhudia Interview moja mtu wa Human resource mkenya aliwapiga bao watu wa Accounts 400 kwenye position ya 'Loan Officer', Kwanini? Skills, Skills & Skills jishughulishe kulearn skills mbali mbali muhimu usisubiri interview ndio ufungue daftari, hakuna mtu anataka kilaza kwenye ofisi yake note that.
[/QUOTE]jamaa anaongea kwa experience wewe unabwabwaja tu, Hata kati ya watu 100, 000 kwa swali hilo utampata wa kwanza na wa mwisho.
Nimeshuhudia Interview moja mtu wa Human resource mkenya aliwapiga bao watu wa Accounts 400 kwenye position ya 'Loan Officer', Kwanini? Skills, Skills & Skills jishughulishe kulearn skills mbali mbali muhimu usisubiri interview ndio ufungue daftari, hakuna mtu anataka kilaza kwenye ofisi yake note that.
Mimi nakwambia mzee huwezi ita watu 10k uwaulize "what is your greatest strength"?Wewe endelea kusoma daftari bana
Mkuu Hongera sana [emoji4]Namshukuru Sana Mungu na Mimi Leo Kwenye Huu Mkeka Jina Langu Limetokea. Sina Maneno Mengi Sana YA Kuandika Hapa Ila Ningependa Kuwatia Moyo Vijana Wenzangu Wa Kitanzania Tusikate Tamaa Ipo Siku Yako Utatoboa Tuu.
Nawaombea Wote Ambao Bado Hamjapata Ajira Mungu Awasidie Mkapate Katika Majira Yaliyoamriwa na Mungu. Pia Nawa pongeza na Wale Waliolamba Asali Kupitia Mkeka Huu Wa Leo.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Mkuu hiyo huwa ni OralMimi nakwambia mzee huwezi ita watu 10k uwaulize "what is your greatest strength"?
Hizo ni interview za experienced candidates ambao recruiter kawachuja kupitia CV zao kaangalia experience zao na kuvutiwa na wachache na kuwakaribisha kwa interview zaidi
Yani uite watu maelfu uwaulize "what is your greatest strength? Then unasahihisha vipi hizo karatasi? Au ndo kuwapa watu marks kutokana na mood ya msahihishaji
Nipo mjini kiongozi sasa info nyingi nakosa kule ila namaliza wiki hii hizi harakati zilizonileta Dar,,,Ispokuwa nimefurahi kuona umetoboa mungu akutangulie sana yani[emoji4][emoji4], pamoja sana mkuu, ulikuwa una nitia moyo sanaa kila ulipokuwa unatuambia kuna mkeka unakuja umebeba taasisi tamutamu na kweli unakuta inakuwa hivyo. Huwezi amini ukimya wako wiki jana ulinifanya ninyong'onyee saanaaa! Mungu akubariki kwa kututia moyo kwa namna hiyo.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Duh hzo zitakua zimefutwa mkuu
Uliomba zipi ?Kumbe kuna mda kazi zinaishia received tu na kufutwa sikua najua aisee
Kazi kama zimefutwa lazima watoe tangazo kuwajulisha waombajiKumbe kuna mda kazi zinaishia received tu na kufutwa sikua najua aisee
Kutokujua kutumia computer huo ni uzembe binafsi Wala hausiani na kuwa kilaza. Yaani uwe hujajifunza kuendesha gari halafu upewe ushindwe waseme ni ukilaza no.Watu wenye DIGRII hata kutumia kompyuta hawajui, yaani kuwasha shida, kutype shida, kufungua Email shida.
Andaa ripoti hajui, haya kitabu cha makadirio hiko hapo fanya makadiriko ni mziki.
Hapa utasemaje kama sio VILAZA?
Vitu vingine sio vya kuchekea.
Oh nashukuru kwa kunitia moyoKazi kama zimefutwa lazima watoe tangazo kuwajulisha waombaji
Vocational tutorUliomba zipi ?
Si ndio zile za veta ? ,Si kuna mtu hapa alipata nafasi za kazi veta humu ?Vocational tutor
Au uliomba taasisi nyingine tofauti na veta ? ,Kama ni za veta zishatoka kitambo , tangia mwaka janaVocational tutor