HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tamisemi kwa harakaharaka kapokea majina zaidi ya 100k lkn ndani ya mwezi na kitu wamepata ajira na kawapangia vituo idadi iliyotakiwa yote kwa mara moja,tukisema mnasema tatizo la hela na bajeti ndio inakuwa bado..acha taasisi ziajiri zenyewe kama ni kukosa tukose mara moja tujue.
 
Utumishi wako slow sana wnaelemewa sana.
 
Aisee tuseme tu ukweli kusubiria michakato ya utumishi kunachosha kunatesa sanaa basi tu hakuna namna
 
Tamisemi hajafanya interview ni landom selection
 
Ila Ajira za TRA zinamalalamiko sana bora hata utumishi walivyojitoa, kwann Intern anayejitolea kufanya kazi kwa bidii na anauzoefu wa kazi Asiwe na Haki ya kupewa Mkataba wa kudumu halafu ww Ndio uwe na Haki? How
 
Wakuu naombeni pdf za afya na walimu asee aliyekwisha downliad maana website kwangu nzito haifunguki Kabisa
 
Ila Ajira za TRA zinamalalamiko sana bora hata utumishi walivyojitoa, kwann Intern anayejitolea kufanya kazi kwa bidii na anauzoefu wa kazi Asiwe na Haki ya kupewa Mkataba wa kudumu halafu ww Ndio uwe na Haki? How

Sure kuna vijana walikua intern 2019-21 walikua wanapita madukani Huku Karikaoo na Barakoa zao. Walikua fair sana wale vijana sijui kwanini mamlaka iliwaacha asee,

Hawa vijana nafikir Mungu kawaona watakula shavu asilimia kubwa.
 
Tatizo hizo intern zenyewe zinatolewa kwa upendleoo na kujuana so bora mpria uwekwe kati hakuna cha intern wala nani wote wapambanie atakeshinda apewe kazii
 
Tatizo hizo intern zenyewe zinatolewa kwa upendleoo na kujuana so bora mpria uwekwe kati hakuna cha intern wala nani wote wapambanie atakeshinda apewe kazii
Intern si wanatoa TAESA? sisi tuliletewa na TAESA na huko wanafanya usaili kabisa ili kuwa recruited, vijana wakimaliza chuo wapitie agency wakati wabatafuta matobo ya kutokea.
 
mkuu samahani,mm sijasoma tax,ila nina kabachelor kangu ka uchumi, kwani swali no:1 ni sawa na no :2 hapo juu??

coz naona swali namba mbili linahitaji umuhimu wa kulipa kodi while swali namba moja linahitaji how taxes should be mfano zile canons zake nikama convenience,equity,economy,productivity nk

fafanua hapo mkuu labda sijaelewa??
 
Intern si wanatoa TAESA? sisi tuliletewa na TAESA na huko wanafanya usaili kabisa ili kuwa recruited, vijana wakimaliza chuo wapitie agency wakati wabatafuta matobo ya kutokea.
Si kila taasisi intern hutoka taesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…