Ajira serekalini ni ualimu na afya wengine ni mwendo wa choo cha mbuzi tena kwa mchakatoo unaoweza kuchkua mwaka mzimaSio mgeni, ila hatupaswi "kuchekeana chekeana" kwa kushindwa mambo madogo madogo namna hii.
Ukiona hivyo hawana mpango wa kutupia pdf ili pasibaki emptyhawa utumishi wanatuchukuliaje aiseeh
yani mkeka wa may 24,bado haujazima till now ni mwendo wa new alert!!
dah sawa mkuuHapo ni dalili hamna mkeka mpya mpaka sasa
kitaa njaa kaliiUkiona hivyo hawana mpango wa kutupia pdf ili pasibaki empty
nenda kafatilie uzi wa tume wa mahakama then uje hapa mkuu, kuna mwamba kule kadai kuwa shortlisted tu post hzi za mlinzi kuna maza mmoja huko juu kamuunganisha.na hiyo mahakama sehemu tunayo tarajia kupata hakii kwa asilimia karibu 100%Hv hawa utumishi wanashindwa nn kufanya saili kwa kanda mbona hawa wenzao utumishi wa mahakama wameita watu kwa kanda zao
Aisee, ngoja binafsi niamini Tu katika miujiza na hii tume bungeni waliisifia sana kumbe nako ni uozoo Tu,nenda kafatilie uzi wa tume wa mahakama then uje hapa mkuu, kuna mwamba kule kadai kuwa shortlisted tu post hzi za mlinzi kuna maza mmoja huko juu kamuunganisha.na hiyo mahakama sehemu tunayo tarajia kupata hakii kwa asilimia karibu 100%
Tume kule kuitwa tu ni zaidi ya kipajiAisee, ngoja binafsi niamini Tu katika miujiza na hii tume bungeni waliisifia sana kumbe nako ni uozoo Tu,
Leo 5% kumulimuli hakijazimaaLeo inapita bila pdf kweli?
Mbona unataka uwapangie watu kila mtu anakwenda kwa muda wake na nauli yake so kila mtu akiwa na haya mawazo si wataenda watu zero kikubwa ni kupambana tu huku ukigain mauzoefu na makonnection kutoka watainiwa wenzankouduanzi wa kwenda saili ya gumbania nafasi moja muache. nafasi moja alaf mmeitwa 180 . huku nikupoteza muda na garama
Wanataka watu wawe wabobez wa IT kabisa au ndio Microsoft office na Excel tuu ,au hyo mifumo ya KodiDuuuuh, Naambiwa USAILI WA TRA UTAKUWA NA PRACTICAL WADAU.
Yaani ukitoboa Written kuna Practical ili kupima ujuzi wa matumizi ya Computer nk.
Kweli hali ni tete huko.
Ni written na Practical au All written, practical and Oral!??Duuuuh, Naambiwa USAILI WA TRA UTAKUWA NA PRACTICAL WADAU.
Yaani ukitoboa Written kuna Practical ili kupima ujuzi wa matumizi ya Computer nk.
Kweli hali ni tete huko.