HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kumbe manispaa watu wanakunja 790,000 hiyo ni Gross [emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119]. Ndomana halmashauri upigaji hauishi
 
Duuuuh, Naambiwa USAILI WA TRA UTAKUWA NA PRACTICAL WADAU.

Yaani ukitoboa Written kuna Practical ili kupima ujuzi wa matumizi ya Computer nk.

Kweli hali ni tete huko.

Labda niwape za ndani, ajira za sasa zimetoka kimkakati wanahitaji watu wenye uzoefu ambao sio mzigo. Wengi watakutana na panga.
 
Labda niwape za ndani, ajira za sasa zimetoka kimkakati wanahitaji watu wenye uzoefu ambao sio mzigo. Wengi watakutana na panga.
Mmmmh ila hawa watafuta ajira hata akiwa hana experience akiwezeshwa ndani ya muda mfupi anakuwa yuko vizuri katika kutekeleza majukumu yake
 
Hata kama ingekua ni wewe [emoji1787] Lazima ujipe ulemavu ..Kweli vyuma vimekaza.
 
Mmmmh ila hawa watafuta ajira hata akiwa hana experience akiwezeshwa ndani ya muda mfupi anakuwa yuko vizuri katika kutekeleza majukumu yake
Muda mfupi gani mkuu? Watu wanatafuta waajiriwa competent, tupambana tu vijana hakuna namna nyingine. Kuwezeshwa ndio nini kama ww mwenyewe huwezi kujiongeza?
 
Usikubali kuwa umefilisika!! Kufilisika halisi kuko kichwani na si mfukoni! Ukikubali kuwa umefilisika inakuwa hivyo, usipokubali kufilisika hata kama pochi haina kitu, bado mpenyo wa kupata pesa utakuja tu, kama siyo leo kesho!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…