Kwani BOT Walishawahi kupitisha Ajira Psrs??Ilianza TRA, sasa amefuatia BOT kujifanyia usaili yenyewe!! Huku kwa wenzangu na mimi ( PSRS) mwisho wa siku zitabakiaga za LGA tu!! Ni mbaya sana lakini naona ndiko tunakoelekea!! Wakubwa wameamua liwalo na liwe!!
Muda mfupi gani mkuu? Watu wanatafuta waajiriwa competent, tupambana tu vijana hakuna namna nyingine. Kuwezeshwa ndio nini kama ww mwenyewe huwezi kujiongeza?
Hao hua wanaajiri wenyewe hawapitii psrsKwani BOT Walishawahi kupitisha Ajira Psrs??
TUNATAFAKARIUzi umepumzishwa au vijana mnatafakari namna ya kuchomoka kwenye huu msoto na stress.
BOT wanafanya sahili wenyewe tangu kitamboIlianza TRA, sasa amefuatia BOT kujifanyia usaili yenyewe!! Huku kwa wenzangu na mimi ( PSRS) mwisho wa siku zitabakiaga za LGA tu!! Ni mbaya sana lakini naona ndiko tunakoelekea!! Wakubwa wameamua liwalo na liwe!!
HongeraWizara ya mali asili na Utalii niliwachabo tangu Nipo Dom,,,Ebana kesho narudi Dodoma mliolamba asali mliopo Dar tusafiri pamoja
Uko wapi huo uzi ?nenda kafatilie uzi wa tume wa mahakama then uje hapa mkuu, kuna mwamba kule kadai kuwa shortlisted tu post hzi za mlinzi kuna maza mmoja huko juu kamuunganisha.na hiyo mahakama sehemu tunayo tarajia kupata hakii kwa asilimia karibu 100%
BOT mbona wanafanya wenyewe mda mrefu tu.Ilianza TRA, sasa amefuatia BOT kujifanyia usaili yenyewe!! Huku kwa wenzangu na mimi ( PSRS) mwisho wa siku zitabakiaga za LGA tu!! Ni mbaya sana lakini naona ndiko tunakoelekea!! Wakubwa wameamua liwalo na liwe!!
Vijana kuweni makini nawaambia tena kuweni makini.Duuuuh, Naambiwa USAILI WA TRA UTAKUWA NA PRACTICAL WADAU.
Yaani ukitoboa Written kuna Practical ili kupima ujuzi wa matumizi ya Computer nk.
Kweli hali ni tete huko.
Umakini wa Nini mkuu, tupange sasaVijana kuweni makini nawaambia tena kuweni makini.
Ni kweli lakini siyo sawa!! Ukiona watu bila aibu wanaamua kutumia utaratibu wa "double standard" ujue kuna tatizo kubwa!!BOT wanafanya sahili wenyewe tangu kitambo
BOT ni mwendo wa kutaka wenye experience tu!! Unaambiwa uwe na experience ya angalau miaka 3!! Maana yake wanalenga watu wenye ajira tayari ambao watahamia huko kwenye green pastures!! Suala la kutaka wenye experience wadau walilipigia sana kelele na likawa limeishia. Naona huko BOT bado lipo sana!! Watu waliuliza kama mnataka wenye experience hawa fresh graduates mtawapeleka wapi?? Hao wenye experience wasingeaminiwa na kupewa nafasi, wangepataje hiyo experience? Ona mfano wa wanavyotaka:nenda kafatilie uzi wa tume wa mahakama then uje hapa mkuu, kuna mwamba kule kadai kuwa shortlisted tu post hzi za mlinzi kuna maza mmoja huko juu kamuunganisha.na hiyo mahakama sehemu tunayo tarajia kupata hakii kwa asilimia karibu 100%