HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sio kweli mi nina jamaa yangu kapata kazi BOT nadhani mwaka jana mwanzoni na alikua fresh from school sema wakati anaajiriwa BOT alikua anafanya kazi crdb kama intern zikatangazwa kazi aliomba na alipata
 
Zile za mwaka jana walikua specific wanataka fresh graduate au mwenye uzoefu usiozidi miaka mitatu..

Hua wana specify kila kada wanataka mtu wa aina gani
 
Ni kweli lakini siyo sawa!! Ukiona watu bila aibu wanaamua kutumia utaratibu wa "double standard" ujue kuna tatizo kubwa!!
Mbona Tanroads zamani walikua wanatangaza wenyew ila Leo wametangaza via Utumishi. Hiyo huionii??
 
Sio kweli mi nina jamaa yangu kapata kazi BOT nadhani mwaka jana mwanzoni na alikua fresh from school sema wakati anaajiriwa BOT alikua anafanya kazi crdb kama intern zikatangazwa kazi aliomba na alipata
Unabishana na tangazo au ?
 
Attachments

Kuna mkaka namjua alipata alikuwa fresh from school.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…