HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Aisee nami jana nmelamba asali....
Namshukuru MUNGU kwa hatua hii....
Wembe ni ule ule lkn.....kama nilivyowahi kusema na ambavyo nmekuwa nikisema kuhusu ishu ya ucheleweshwaji wa kujua hatma ya wasailiwa. Nitaendlea kuusimamia msimamo huu....wakiweza kukabiliana na tatzo kubwa hili mengine yanarekebika na vijana hawatailalamikia mno utumishi[emoji3577][emoji3577][emoji3577]
 
Hongera sana mkuu kwa kulamba asali
 
Honger sana mkuu kila la heri binafsi nakufurahia sana
 
Hongera sana. Vipi ni data base bro? au direct placement .
 
Hongera sana. Vipi ni data base bro? au direct placement .
Nimefurahi na kupata matumaini kwani ni katika watu waliokuwa wakipush ajenda kwa nguvu na bado unaonyesha moyo wa kuendeleza harakat ili watakaofuata wasiteseke kama sisi kwa sasa.

Bila shaka wakati wetu haopo mbali.
 
Wadau kwa waliofanya usaili leo Tume ya utumishi wa mahakama waje hapa watupe info kidogo jinsi usaili ulivyokua
 
H
I think ni data base
Maana usaili niloufanya last year wa placement walishapata.

Nachoshukuru asali ni nzito kuliko ya direct placement[emoji2357][emoji2357]
Hongera sana mkuu,

Hakika wakati wa Bwana ni wakati sahihi kabisa. Kila la kheri ktk maisha yako mapya ya Utumishi wa Umma

Kumbuka kutoa Shukrani kwa hatua hyo uliyofikia. Pia jipongeze.
 
Arguments zako za kitoto sana

Kwa hiyo hapo ndo umepima uelewa?

Unadhani ukiuliza swali la namna hiyo yule wa kwanza (aliyepata marks nyingi kwenye hayo maswali unayosema ni ya direct) atapata marks za chini? Make no mistake bado ataongoza yeye

Kuongoza marks kwenye watu 5k sio rahisi, lazima una kitu kichwani tena kitu cha maana tuu
 
What is PSRS Oral Interview?

Refers to trying to stuff a load of information/ notes into your short-term memory .
 
What is PSRS Oral Interview?

Refers to trying to stuff a load of information/ notes into your short-term memory .
Or long term memory .. I might have read that 3 years ago.

Mtu aliyejibu vizuri kiasi cha kua wa kwanza katika 5k yuko poa. Nimekwambia still atafaulu vyovyote mtihani utakavyotoka, be assured of that.
 
Hongera champ
 
I think ni data base
Maana usaili niloufanya last year wa placement walishapata.

Nachoshukuru asali ni nzito kuliko ya direct placement[emoji2357][emoji2357]
Mkuu Mbanti oral ulipiga mwezi wa ngap kaka,maana sir wengine huko bado hatujalamba asali kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…