Hongera sana kiongozi...Ukawe Mtumishi mwema!!!!Umetupa matumain ya Data base Ipo siku na wakati tutapataI think ni data base
Maana usaili niloufanya last year wa placement walishapata.
Nachoshukuru asali ni nzito kuliko ya direct placement[emoji2357][emoji2357]
Ndiyo wa DataBase haoKumbe watu wamelamba Asali NAOT jana, hawa watakuwa ni wa database. Hongereni sana, Karibuni
Deed poll ndio kitu gan kk,elezea kidogoHabari zenu wakuu? Natoa ushauri tuu kama unachangamoto kuhusu majina kwenye nyaraka zako jitahidi utafute Deed Poll na siyo Affidavit. Sababu kuu ni kwamba hiyo ndo hutambulika serikalini.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Ni kiapo cha kurekebisha jina lako, ambacho unakipata wizara ya ardhi, kama unahisi au unaona majina yako hayapo sawa na unahitaji kuyarekebisha au yametofautiana kuanzia cheti cha kuzaliwa Hadi vyeti vyako vya shuleDeed poll ndio kitu gan kk,elezea kidogo
Hongera sana mkuuMungu ni mwema, hatimae leo na mimi ameniona. Niliyoyapitia ni mengi sana, nashukuru mno kwa hii hatua. Mungu ni mwema, narudia tena Mungu ni mwema[emoji1545]
Hongera sana mkuuHatimaye na mimi leo jina langu limetokea katika moja ya pdf
Namshuru sana Mungu. Tusiache kufanya interview ndugu zangu na maandalizi mema kwa wale wote wanaotarajia kwenda kwenye interview Mungu awasimamie
Hongera sana na karibu sana upande wa piliMungu ni mwema, hatimae leo na mimi ameniona. Niliyoyapitia ni mengi sana, nashukuru mno kwa hii hatua. Mungu ni mwema, narudia tena Mungu ni mwema[emoji1545]
Leo nilienda kufanya mchujo katika tume ya utumishi wa mahakama ,nikakutana na Keybord,mouse na monitor, Quiz ni dakka 30,yenye maswali 20 but yote ya kuchagua na baada kumaliza marks zako ulizopata zinaonekana pale so unajua kama uelekeo wa kwenda orala upo au laa
Wakuu hivi kwenye kuapply kazi ni lazima kuattach transcript?mean academic certificates na cv plus cover letter vyote hvo umeweka,..Kuna ulazima wa kuweka na transcript?
Hii hatua nzuri sanaLeo nilienda kufanya mchujo katika tume ya utumishi wa mahakama ,nikakutana na Keybord,mouse na monitor, Quiz ni dakka 30,yenye maswali 20 but yote ya kuchagua na baada kumaliza marks zako ulizopata zinaonekana pale so unajua kama uelekeo wa kwenda orala upo au laa
Nakuoongeza sana..Mungu ni mwema, hatimae leo na mimi ameniona. Niliyoyapitia ni mengi sana, nashukuru mno kwa hii hatua. Mungu ni mwema, narudia tena Mungu ni mwema[emoji1545]
Hongera sana mkuu!Hatimaye na mimi leo jina langu limetokea katika moja ya pdf
Namshuru sana Mungu. Tusiache kufanya interview ndugu zangu na maandalizi mema kwa wale wote wanaotarajia kwenda kwenye interview Mungu awasimamie
Zilikuwa ni hizi za MDA au ? Ila hiyo aptitude test ni safi tu , maana itaondoa malalamiko hapa watu wamekuwa wakilia liaLeo nilienda kufanya mchujo katika tume ya utumishi wa mahakama ,nikakutana na Keybord,mouse na monitor, Quiz ni dakka 30,yenye maswali 20 but yote ya kuchagua na baada kumaliza marks zako ulizopata zinaonekana pale so unajua kama uelekeo wa kwenda orala upo au laa
Kila la kheri na Mungu awasaidie.Leo nilienda kufanya mchujo katika tume ya utumishi wa mahakama ,nikakutana na Keybord,mouse na monitor, Quiz ni dakka 30,yenye maswali 20 but yote ya kuchagua na baada kumaliza marks zako ulizopata zinaonekana pale so unajua kama uelekeo wa kwenda orala upo au laa