mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
mkuu hii c ni mamlaka ya kudhibiti madawa ya kulevya.Hivi hawa DCEA mfumo wao wa kuajiri ukoje, kuna yeyote aliyewahi kusikia nafasi za kazi DCEA?
alipiga oral taasis gani mkuu?Kama uliwahi kufika oral usife moyo, database iko hai hadi mwaka mzima tangu placement ya oral yako ilipotoka. Kuna jamaa kalamba Asali jana alifanya oral Sept mwaka jana.
sawa mkuu, ila buyu lao ni la kununulia naniliu iliyopitishwa leo mjengoni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu hii c ni mamlaka ya kudhibiti madawa ya kulevya.
dcea na takukuru madam president alizilalamikia ikiwemo kuhusu kubambikizia watu kesi na michakato yao ya ajira.
turudi kuhusu DCEA hii ni authority sensitive sana kwa nchi nadhan waanajiri kwa usiri na vetting ya kutosha kama TISS mkuu
ORCIalipiga oral taasis gani mkuu?
Hatimaye na mimi leo jina langu limetokea katika moja ya pdf
Namshuru sana Mungu. Tusiache kufanya interview ndugu zangu na maandalizi mema kwa wale wote wanaotarajia kwenda kwenye interview Mungu awasimamie
Mdogomdogo tu kila mtu atapata ,hongera sana.Hatimaye na mimi leo jina langu limetokea katika moja ya pdf
Namshuru sana Mungu. Tusiache kufanya interview ndugu zangu na maandalizi mema kwa wale wote wanaotarajia kwenda kwenye interview Mungu awasimamie
Hongera sanaaaMungu ni mwema, hatimae leo na mimi ameniona. Niliyoyapitia ni mengi sana, nashukuru mno kwa hii hatua. Mungu ni mwema, narudia tena Mungu ni mwema[emoji1545]
sawa mkuuORCi
Shukrani kiongoziHongera sana mkuu
ShukraniMdogomdogo tu kila mtu atapata ,hongera sana.
Post gani?Leo nilienda kufanya mchujo katika tume ya utumishi wa mahakama ,nikakutana na Keybord,mouse na monitor, Quiz ni dakka 30,yenye maswali 20 but yote ya kuchagua na baada kumaliza marks zako ulizopata zinaonekana pale so unajua kama uelekeo wa kwenda orala upo au laa
πππππMkeka wetu upo tiari na hii ndio week yenyeweee..
nimeandaa nauli kabisa ya kwenda Dodoma utumishi kufuata barua ysngu ya kuripoti kazini [emoji2][emoji23][emoji23]
Kam sija appear kweny PDFnaenda kuweka bili maziwa ili nipunguzeee stress.
Shida sio kupata,hatuwezi kupata kazi wote shida ni kumaliza mchakato kwa wakati,mantiki yangu ni kuwa hawa tamisemi ajira zao pamoja na hizi za MDA/LGA ilikuwa ni mwaka uliopita ambazo wao walimaliza mapema mchakato wake,wao wameajiri awamu ya pili wale wenyewe bado tu hata za kwanza hawajamaliza ndio mantiki yangu.suala la kupata au kukosa wala halinihusu,wao watoe idadi kama ilikuwa ni 100 basi watoe waliopata idadi hiyo tujue tumekosa lkn sio hii mwingine ana miezi 4 kazini mwingine hata hajui kama itakuwa ni database au amepata au kakosa kabisa.Wenzako wanalia huko unakotaja kule hakuna usaili ni kupangwa tu.Hapo kwenye kupangwa tu sasa!...au na hawa utumishi watupange tu? Nani apangwe nani aachwe?
LogicShida sio kupata,hatuwezi kupata kazi wote shida ni kumaliza mchakato kwa wakati,mantiki yangu ni kuwa hawa tamisemi ajira zao pamoja na hizi za MDA/LGA ilikuwa ni mwaka uliopita ambazo wao walimaliza mapema mchakato wake,wao wameajiri awamu ya pili wale wenyewe bado tu hata za kwanza hawajamaliza ndio mantiki yangu.suala la kupata au kukosa wala halinihusu,wao watoe idadi kama ilikuwa ni 100 basi watoe waliopata idadi hiyo tujue tumekosa lkn sio hii mwingine ana miezi 4 kazini mwingine hata hajui kama itakuwa ni database au amepata au kakosa kabisa.
Madogo waliofanya Duce tangia January hadi Leo kimyaMdogomdogo tu kila mtu atapata ,hongera sana.
πππππMadogo waliofanya Duce tangia January hadi Leo kimya
madogo au wewe mwenyewe( jokes)πππππ