Hivi MDA & LGA waliofanya interview ya oral 14 may mwaka huu bado hawajatoa majina yao??Shida sio kupata,hatuwezi kupata kazi wote shida ni kumaliza mchakato kwa wakati,mantiki yangu ni kuwa hawa tamisemi ajira zao pamoja na hizi za MDA/LGA ilikuwa ni mwaka uliopita ambazo wao walimaliza mapema mchakato wake,wao wameajiri awamu ya pili wale wenyewe bado tu hata za kwanza hawajamaliza ndio mantiki yangu.suala la kupata au kukosa wala halinihusu,wao watoe idadi kama ilikuwa ni 100 basi watoe waliopata idadi hiyo tujue tumekosa lkn sio hii mwingine ana miezi 4 kazini mwingine hata hajui kama itakuwa ni database au amepata au kakosa kabisa.
inawezekana alifanya interview nyingne wewe hukuepoUtumishi kwel hakuna favor kwel kwa mfano kuna demu mmj mwajiliw udsm tulifany nae pepa akapata kazi uko Singida kama afisa tarafa ila akupapenda kwahy akwenda jambo la kushangaza majina ya juzi yanatoka kapangiwa kazi tena TRC!
Sasa sijaelewa inakuaje kuaje????
Amna ajafanya nyngne mzee ni kama kabadilishiwa Tu kwamba ya mwnzo ajapenda
Mbona unashare personal details za mhusika?? Je unaishi nae kupata huo uhakika hajafanya interview nyingine?Utumishi kwel hakuna favor kwel kwa mfano kuna demu mmj mwajiliw udsm tulifany nae pepa akapata kazi uko Singida kama afisa tarafa ila akupapenda kwahy akwenda jambo la kushangaza majina ya juzi yanatoka kapangiwa kazi tena TRC!
Sasa sijaelewa inakuaje kuaje????
Wewe una wivu tu huna loloteAmna ajafanya nyngne mzee ni kama kabadilishiwa Tu kwamba ya mwnzo ajapenda
Majina ya oral mZee bado ayajatokaLeo nilienda kufanya mchujo katika tume ya utumishi wa mahakama ,nikakutana na Keybord,mouse na monitor, Quiz ni dakka 30,yenye maswali 20 but yote ya kuchagua na baada kumaliza marks zako ulizopata zinaonekana pale so unajua kama uelekeo wa kwenda orala upo au laa
Soma tangazo husika kwa umakini, lazima watakua wamesema barua una address kwenda wapi au kupitia wapi.Wakuu kwa aliyewahi kuomba ajira kwa kupitia Ajira portal hivi kwenye anuani ya mwandikiwa inakaa ipi ?? Ya sehem unayoombea " mfano Kama naomba nafasi ya kazi TRA naweka anuani ya TRA au naweka ipi " Msaada jamani.
Bado labda wanasubiri wawamalize hawa wa leo na kesho we jiandae tu na oral
Nimeona na nimeshangaa Sana imekuwaje yaan nilichopenda Sana kwake ni anabahati Sana Sana Sana. Maana Mimi naombea nipate nafasi 1 tu ila yeye amepata 2 Kwa wakati mmoja na pia tulifanya usaili pamoja naye. Hongera Sana kwake maana wanasema "bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi"Amna ajafanya nyngne mzee ni kama kabadilishiwa Tu kwamba ya mwnzo ajapenda
Placement tayari ilifanyika kwako? Just feedbackWanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Soon uzi unadorora huu. Hahaha. Raia wengi wenye kupush agenda wamelamba asali tatizo.Vijana mpo wapi?, mbona Uzi pendwa unaanza kufa taratibu
Soon uzi unadorora huu. Hahaha. Raia wengi wenye mupush agenda
Hivi unadhani wanaofanya intern Tra ni watoto wa masikini ?Huu uzi unapitia mengi sna sasa iv wamejaa waliofanya Intern Tra wanatete ugali wao😅😅
Mimi ni mtu mzima SEMA tu maisha haya hayana shukurani na kama ningeanza kazi TRA Sasa hivi ningekuwa na scale ya TRA 13 au 14 huko. Na usingeniona kwenye huu Uzi muda huu ningekuwa Kidimbwi nanyonya Hennessymadogo au wewe mwenyewe( jokes)