Nalisubr mkuuMkuu na wewe unalisubiri hili pdf, tupo pamoja na kama ni kada yako tupeane abc tafadhali.
Nalisubr mkuuMkuu na wewe unalisubiri hili pdf, tupo pamoja na kama ni kada yako tupeane abc tafadhali.
Aisee na mimi tupo pamoja humo hiyo ni filed yangu kabisa siyo zile other related course.Nalisubr mkuu
Ni kada yangu kabsaaa !!
Maana mm ndo afisa mweyewe mweye kada yake ..sema ndo hvyo tunasubiri mpambano
Maan unawez jikuta mwamba ukakandwa vibaya sana
kuna watu wanamiez 5Ina maana pdf la afisa maendeleo ya jamii limekuwa zito sana mpaka utumishi wanashindwa kulibeba
Miezi 2 sasa
Hvi hyo ndo pesa unapewa baada ya makato au ndo ile kabla ya makato?TGOS A
Tsh 370,000
Kabla ya makato.Hvi hyo ndo pesa unapewa baada ya makato au ndo ile kabla ya makato?
[emoji846][emoji846]......vitengo gani kiongoziMambo mazuri yanakuja wakuu huenda leo kikawaka pale placement au wiki ijayo ila masijala mizigo ishawasili
Yetu macho mkuuMambo mazuri yanakuja wakuu huenda leo kikawaka pale placement au wiki ijayo ila masijala mizigo ishawasili
Aisee mungu ajalie tuendlee kupungua mtaaniMambo mazuri yanakuja wakuu huenda leo kikawaka pale placement au wiki ijayo ila masijala mizigo ishawasili
Ni kweli maana kuna watu ninaowafahamu wamepata mishahara hata kabla ya kuitwa kazini kwa simu!!Kama n kweli basi vzr watawarahisishia maisha.
Inategemea na halmashauri. Kuna halmashauri ambazo waajiriwa wamekaa hadi miezi miwili kabla ya kupigiwa simu. Ila walikula mishahara hiyo miwili wakiwa nyumbani!!Halmashaurini ni fasta tu. My friend alienda halmashauri ndani ya wiki mbili tu akapigiwa simu akasain mkataba wa kazi rasmi
Uwezekano huo ni mdogo sana!! Kumbuka ili ufanye usaili lazima uoneshe vyeti original. Wanaoikagua vyeti wameelimishwa jinsi ya kutambua vyeti fake!! Hadi sasa haijatokea, ikitokea lazima itavuma sana!!Hivi wakuu kuna uwezekano hadi mtu kashapata barua ya kuripoti kazin lkn
Kwenye kuhakiki vyeti akajikuta anakosa hiyo kazi... sababu Labda vyeti kuwa na dosari
🙏Amina mkuuMambo mazuri yanakuja wakuu huenda leo kikawaka pale placement au wiki ijayo ila masijala mizigo ishawasili
Pamoja sana Chief.Mambo mazuri yanakuja wakuu huenda leo kikawaka pale placement au wiki ijayo ila masijala mizigo ishawasili
Sawasawa ngoja tuendelee kusikiliziaAisee na mimi tupo pamoja humo hiyo ni filed yangu kabisa siyo zile other related course.
Aloookuna watu wanamiez 5
Ina maana pdf la afisa maendeleo ya jamii limekuwa zito sana mpaka utumishi wanashindwa kulibeba
Miezi 2 sasa
Labda ndio sababu inayowafanya wacheleww? Ikiwa wanachakata nafas z walio katika.databaseUtumishi Wanapotoa pdf ya kuita afisa maendeleo II kwenye written interview basi wakumbuke pia kutoa majina ya afisa maendeleo II walioingia kwenye kazi data interview ya mwaka jana wasijisahau kabisa.