Kwa idadi ile ya post mnastahiki kuitwa peke yenu kwenye sailiUtumishi Wanapotoa pdf ya kuita afisa maendeleo II kwenye written interview basi wakumbuke pia kutoa majina ya afisa maendeleo II walioingia kwenye kazi data interview ya mwaka jana wasijisahau kabisa.
Maan hizi nafasi kupataga post utumishi huwa inachukua muda sanaWatakuwa wamefanya jambo jema sana.
Acha wabarikiHakika
Nafasi zilikua 800, nahisi wataitwa watu elfu 10 kabisaKwa idadi ile ya post mnastahiki kuitwa peke yenu kwenye saili
Mkuu, hawataajiri tena T.A kwa UDOM au kwa vyuo vyote nchini?Chuo kikuu cha Dodoma kimetangaza nafasi mbalimbali za wakufunzi kwa wenye vigezo mnaweza kuomba, kwa upande wa Tutorial Assistant (wenye degree) probably hizi ndo nafasi za mwisho kutangazwa maana hawataajiri tena Tutorials (probably)..kwa anayehitaji msaada wa hizi post za ukufunzi chuo kikuu anakaribishwa inbox..all the best guys.
Ndio,hata leseni ya uderevaWakuu naomba kuuliza kama unaenda kwenye written interview utumishi na huna kitambulisho cha nida wala cha mpiga kura unatakiwa uwe na nini passport wanakubali?
AsanteNdio,hata leseni ya udereva
AmenMambo mazuri yanakuja wakuu huenda leo kikawaka pale placement au wiki ijayo ila masijala mizigo ishawasili
Mara nyingine wanatoaga hata wikiendi tuwe na subira tupsrs bado kimya kwenye sehemu ya placement. Inamaanisha wiki hii hamna pdf.
Psrs fanyeni kuweka pdf ya kufungia week.
Tuwe wapole aiseeepsrs bado kimya kwenye sehemu ya placement. Inamaanisha wiki hii hamna pdf.
Psrs fanyeni kuweka pdf ya kufungia week.
Ndio hapo hazipoAsante sana kwa document hii muhimu. Ila kuna sekta sijaziona humo kama zile za wahadhiri ambao hutumia PUTS scale na zile za taasisi za elimu ambazo hutumia PTSS scales kama NECTA, scales za mashirika ya umma wanaotumia PGSS, scales za mashirika ya umma ya afya yanayotumia PMGSS kama vile Muhimbili nk . Kama unaweza kuzipata tafadhali zitupie pia hapa. Asante sana.
Aisee mungu ajalie tuendlee kupungua mtaani
Iko hivi ukiripoti kazini cha kwanza pambana wakupe mkataba ujaze rudisha. Mkataba ndio mshahara wako hata ukikaa nyumbani wasipokupigia simu mwaka mzima mshahara wako utaingia tuNi kweli maana kuna watu ninaowafahamu wamepata mishahara hata kabla ya kuitwa kazini kwa simu!!
Ndio wanaikubaliWakuu naomba kuuliza kama unaenda kwenye written interview utumishi na huna kitambulisho cha nida wala cha mpiga kura unatakiwa uwe na nini passport wanakubali?
HV we mzee wa mahakama umeahamia uku kweliiWadau mwenye kujua TPCSS4 ni miangapi hapo kwa hawa wazee wa posta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli kabisa hata mie nimeshangaa toka mahakama hadi Posta