mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
yuko Agricultural seed agency (ASA)Kuna jamaa wa kuitwa @Yankule kama sikosei,
Naye alikuwa na mzuka kama wa mfwende sawadogo , nadhani huyo ameshapata, maana haonekani kabisa kwenye huu uzi kwa sasa.
Tuendelee ku push Mzee.Speaking on behalf of woote ambao tumepiga writen kadhaa na hatujawahi bahatika kuingia oral(nikiwa m1 wao).
Mungu atusaidie na sisi siku 1 tuje humu tuzungumze lugha 1 kuhusu placements. Tusi kosoe system ya data base kwa hofu ya kwamba hakutakua na new advertisements[emoji16]. Kama ipo ni ipo tu n suala la mda.
Salute kwenu nyote ambao mshawahi toboa written interview ya utumishi. Zile paper sio masihara aise, yan mtu mpaka unakuja kutoboa kwenye watu let say 10 out of 500 n mziki,
Ndo maana inakuaga ngumu m mtu kuniaminisha watu wanaotoboa apo n vilaza. Wana kitu.
Being aware about vtu viwili ambavyo husaidia kutoboa
1.juhudi
2.maombi(kila mtu kwa imani yake, kuna % chache sana za kutoboa kwa juhudi peke ake bila maombi na maombi peke ake bila juhudi.
Point yangu kwa kuyasema haya ni "tusikate tamaa", tuzidishe juhudi na maombi pia. Kesho n zamu yangu kama sio yangu basi n yako na yangu itakua kesho kutwa.
Imani yangu iko psrs. Have a good day
Za placement au zipi mkuu?Kwani bado Kuna pdf zinatoka tu ??
Hizo hizoZa placement au zipi mkuu?
Imetoka moja jana ya chuo cha MJNUTHizo
Hizo hizo
Oooooooh!!!yuko Agricultural seed agency (ASA)
All the best ndg zang! Yote yawezekana,hakuna lisilowezekana.Speaking on behalf of woote ambao tumepiga writen kadhaa na hatujawahi bahatika kuingia oral(nikiwa m1 wao).
Mungu atusaidie na sisi siku 1 tuje humu tuzungumze lugha 1 kuhusu placements. Tusi kosoe system ya data base kwa hofu ya kwamba hakutakua na new advertisements[emoji16]. Kama ipo ni ipo tu n suala la mda.
Salute kwenu nyote ambao mshawahi toboa written interview ya utumishi. Zile paper sio masihara aise, yan mtu mpaka unakuja kutoboa kwenye watu let say 10 out of 500 n mziki,
Ndo maana inakuaga ngumu m mtu kuniaminisha watu wanaotoboa apo n vilaza. Wana kitu.
Being aware about vtu viwili ambavyo husaidia kutoboa
1.juhudi
2.maombi(kila mtu kwa imani yake, kuna % chache sana za kutoboa kwa juhudi peke ake bila maombi na maombi peke ake bila juhudi.
Point yangu kwa kuyasema haya ni "tusikate tamaa", tuzidishe juhudi na maombi pia. Kesho n zamu yangu kama sio yangu basi n yako na yangu itakua kesho kutwa.
Imani yangu iko psrs. Have a good day
Eeee bado wahitaji na wanaozifuatilia ni wengi ndgKwani bado Kuna pdf zinatoka tu ??
HQ nazani ni moro townOooooooh!!!
Hongera sana kwake kwa kupata mrija wa asali.
Hii Agency iko Dar au Dodoma?
Ukitaka kuona uzi upoo active,,, aje bwana wizy na status zake hapo panakucha kweny web na kweny app ..sio poa aiseeNipo, napitiaga komenti kimya kimya.
Kuna dalili ya uzi kutelekezwa maana kuna siku yalipita masaa 22 bila mtu kutia neno humu
Aje aseme status imebadilika imekuwa Selected for oral ya zambarau 🤣🤣🤣🤣Ukitaka kuona uzi upoo active,,, aje bwana wizy na status zake hapo panakucha kweny web na kweny app ..sio poa aisee
Naona kazi nyingi zimetangazwa aisee watu tuongeze receivedMsimu wa Received ndio huu umewadia, msiache kuongeza received hadi kieleweke.
Kabsa aiseTuendelee ku push Mzee.
One day yes.