HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakulungwa naomba mnipe dondoo hapa namna ya kufahamu Check Number yangu ya Ajira maana ni zaidi ya miezi Sasa,, nimejaribu kumface HR naona Yuko busy sana Hadi nimechoka..
Naweza kuingia portal ipi ambayo naweza kujaza taarifa zangu na ku-access Check namba yangu
 
Hv hawa TPC washatoa zile placements 18 za Postal Clerk za Form IV holders..?
Kuna dogo wangu hapa alifanya Usaili wao
 
Yaaah Yaaah uko sahihi kabisa mkuu, me Kuna dogo wangu aliingia Hadi Oral hizo nafasi za form IV tu.. So mkeka wao sijajua hadi Leo uko vipi, pia sijafahamu wanalipa kufikia Laki 4 hawa FORM IV anayejua atujuze basi maana pungufu ya hapo basi ni njaa tu kwa Huyu dogo kijana wa mjini
 
Kuna jamaa wa kuitwa @Yankule kama sikosei,
Naye alikuwa na mzuka kama wa mfwende sawadogo , nadhani huyo ameshapata, maana haonekani kabisa kwenye huu uzi kwa sasa.
😂😂😂 Mkuu Mimi nipo napita mara mojamoja,, Leo nipo off kimajukumu yangu hvyo nipo sana humu Leo napiga porojo..
Ule wakati wetu ulikuwa moto sana, Sasa Uzi umepoa kweli kweli,, tulikuwa na watu ambao tunaijua michakato yote ya PSRS hadi pdf fulani tulikuwa tunaotea kuwa linatoka leo
Wapi mazaga one
Mwifwa
Na wengine kabao Naamini kizazi chetu humu wengi tupo makazini sasa
 
Hii mkomalie HR maana wao ndio wanaingia kwenye mfumo na kukupa lakini pia ni kitu hakizidi dk 5 kukiacess
 
 
Mlitrend sana na ishu za status sijui kama mlifika muafaka wa selected VS not selected 🤣🤣😁
 
Hv hawa TPC washatoa zile placements 18 za Postal Clerk za Form IV holders..?
Kuna dogo wangu hapa alifanya Usaili wao
Hata mwezi bado tangu wapige oral hapo aanze kushona suti ya kwenda kuchukulia barua kuanzia mwezi ujao mwishoni,mwenyew nilipga oral sema nikakutana na ndoige ya kibabe so hata mahope sina na hzi post
 
MJNUAT WANACHUKUA BARUA DODOMA
 
Oooh hapo sawa Mkuu hebu tusubiri najua dogo hawezi kosa Yuko bright sana kama me mwenyewe
Kwahiyo Dogo Panelists Aliwakosha kisawasawa...Huyo MWAMBA KABISA inaonekana...aandae tu SUTI ya kuvaa siku anaenda DODOMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…