HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Haya mambo mjadala wake ulishapita muda sana
 
Kwan placement imeshatoka uhakikishe Upo au haupo ndg ?? euca
 
Hii ishu ya status ni kweli na ndugu yangu alipiga oral ya kwanza hakupata chance, oral ya pili akapata kazi. Kwenye App status, ile ya kwanza inaonesha “Not selected for oral” ya pili “selected for oral” ila kwenye web inaonesha selected for oral zote mbili.

Nafikiri App ndo kila kitu kama umefaulu Oral au Laah.
 
Aiseee ..kumbe
 
Yes namimi nadhani App iko more accurate
 
Hivi wakuu hii imekaaje
 

Attachments

  • Screenshot_20230622-200634_1687453714088.jpg
    82.3 KB · Views: 27
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…