HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Status yangu app ipo not selected..Wacha nami nikubali mapema kwamba nijipange na nyingine tu. Kwenye web ipo selected but app ipo not selected, so Kwa uzoefu wenu nmi nimekubali mapema kuwa nijipange zaidi Kwa nafasi ijayo
Kweli ndugu, japo inaumiza sana ila huo ni ukweli inatakiwa kuilazimisha nafsi na moyo vikubaliane na hali halisi
 
Shukrani mkuu
 
Mbona Mimi ilivyotoka tu hr akaniita na kunitajia nikaandika kwenye karatasi
 
 
Wanaukuzunguka unawajua na mlikuwa mnapambana wote leo wako muhimbili wanakula hela ..


We we unaambulia 300 za kujitolea
Don't compare yourself with others.

Katika maisha kila mtu ana bahati na riziki yake mzee..

Instead of being desperate ni bora ufanye tathmini fupi ya kua wapi unakosea na pia ufanye intensively preparations.

Kukata tamaa ni dhambi ndugu.
 
Status yangu app ipo not selected..Wacha nami nikubali mapema kwamba nijipange na nyingine tu. Kwenye web ipo selected but app ipo not selected, so Kwa uzoefu wenu nmi nimekubali mapema kuwa nijipange zaidi Kwa nafasi ijayo
Vipi tamthini yako jinsi ulivyojibu maswali ya oral? Unaona hujafika 50%?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…